Mahojiano na Mzee Malebo: Safari ya Maisha yake / kukataa kuokoka / Urafiki na Pastor Munishi

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,322
24,228
MAHOJIANO NA MALEBO Ma-Label

Interview matata sana hii inatupa picha Tanzania ilikuwa nchi ya aina gani, gharama za maisha, na kwa ujumla jamii iliishi vipi kusaka maisha

View: https://m.youtube.com/watch?v=s-8ms_N8IDU

Mzee Mabelo jina halisi Ndeanka mwenyeji wa kutoka Kilimanjaro Tanzania kutokana ya kuwa ni mtoto wa pili kuzaliwa , ni rafiki wa muda mrefu wa Pastor Munishi na, kuna wimbo wenye views nyingi youtube watu tukajua ni utuzi kibaji wa Pastor Munishi.

Lakini leo mwandishi amefika na kukutana na Malebo mwenyewe ingawa jina hilo silo lake bali ni kutokana na shughuli alizokuwa anafanya miaka hiyo ....

Mzee Malebo wa vitongoji vya Keko Akida, Keko Mwanga Magulumbasi jijini Dar es Salaam na Ngarenaro Arusha anasimulia visa na mikasa ... nauli ya treni ni shilingi tisa tu kutoka Dar es Salaam hadi Moshi. Mfuko wa unga wa ngano kilo mbili ulikuwa unauzwa kwa shilingi mbili tu na kutoa chapati 20, Chapati moja inauzwa ......

Operesheni ya kukamata serikali wasio kuwa na kazi na wale wazururaji miji kupelekwa vijijini kwa gharama za serikali ...

Source : Pazia TV
 
Mwamba aligoma katakata kuokoka ila mbona hapo namuona na meno yote wakati Munishi alisema meno wameng'oa

Kumbe nyimbo hizi tunazosikia zingine zinatungwa kutokana na matukio halisi wayaonayo waimbaji wa muziki wa injili na hata muziki wa kidunia.
Mimi nachompendea malebo ni kuwa alikuwa icon ya mtaa wa keko akida hilo tu najihisi raha kumsikiliza malebo akimuimba malebo
 
Back
Top Bottom