Masanduku ya kura yadaiwa kukamatwa jimboni Hanang...

Status
Not open for further replies.
Sishangai sana maana hyu maza kahistoria ka wizi wa kura kanamlinda.. Kwenye previous election nadhan alihisishwa tena na maswala hayo.. Mwisho bafuni
 
Hivi kweli RPC anaweza kusema ndio kwa tukio kama hili?kwani hawa viongozi wa juu wote wa Polisi na jeshi ni wanachama hai wa CCM hivyo kamwe hawawezi kutoa taarifa zozote zinazoiangusha CCM.
 
Uongozi UKAWA ifatilie tuhuma hizi haraka. Ikibainika kweli uongozi wa CCM ufahamishwe in no uncertain terms chukua weka waa itawatokea puani.
 
Huyo alieeneza huo uzushi naye atanyea debe.Aone kama atapelekewa CHAI RUMANDE NA FISADI LOWASSA NA FISADI Mbowe.BAVICHAAA NI SHIDA
 
Vichaa ni hao waliomkamata alafu wakampeleka Polisi.. Na kulinda kura mmeambiwa msithubutu.. Ila mwisho wa yote Lowassa anapata 60%+ ya kura zote..
 
Nilishasema ukawa kifo chenu kimewadia kila mti mnaoshika unatekeza na bado siku moja tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom