Umafia Kata ya Nangwa (W) ya Hanang Mkoa wa Manyara

Jul 21, 2021
15
20
Hivi majuzi Wananchi wa kata ya Nangwa Wilaya ya Hanang walidai taarifa ya Mapato na Matumizi lakini wakajikuta matatani na kutiwa Polisi Katesh.

Sakata hili linamuhusisha Mtendaji Kata tajiri kuliko wote Tanzania ndg Daudi Manda ambaye miaka michache iliyopita hakuwa na chochote lakini leo hii anamiliki Guest Houses kibao Katesh na kwingineko Mkoa wa Manyara.

Daudi Manda ni "Lobbiest" hatari sana, ana uwezo wa kuwashawishi ma DC hata ma RC na ndiyo maana ameweza kuhimili vishindo vya wateule wote wa Rais (DC's na RC's) walioteuliwa kwa kipindi yeye MANDA akiwa WEO katika Kata kadhaa alizowahi kuongoza.

Kata ya DIRMA ndiyo ilikuwa BINGO kwake, alikamata mifugo ya Wananchi na kuwapiga, sasa yupo Nangwa ambapo kuna ubadhirifu mkubwa (Ushahidi Upo) na Wananchi walipojaribu kuhoji Mapato na Matumizi aliwatengenezea kesi polisi.

Mkuu wa Wilaya ya Hanang amejulishwa hivi punde, hivyo tusubiri kitakachotokea.

Lawama hizi haziwezi kumwacha salama Diwani wa Kata ya Nangwa ambaye pia ni mmiliki wa BAMA Secondary School, inaaminika kwamba Diwani PORTAJIA BAYNIT anatumia kivuli cha WEO Manda kujinufaisha na kuinufaisha taasisi yake ya BAMA SECONDARY SCHOOL.

Muda Utaongea, Atluta Continua...
 
o

ok
 
Back
Top Bottom