Masanduku ya kura yadaiwa kukamatwa jimboni Hanang...

Status
Not open for further replies.
Ninacho kiona humu kuna kikundi cha watu au mtu mmoja anatumia multiple alias names kujaribu kueneza uzushi wenye lengo la kuwafanya watu wahamaki na kuleta fujo,watu kama nyinyi mnapaswa kufatiliwa na kuwekwa kwenye slammer mpaka Rais atakapo hapishwa.
Lakini ndugu yangu wamiliki was hii site wao ndio wanaocontrol na wanajua IP address ya comment zinapotoka.So kwa hilo unalolizungumza sidhani kama linauzito sana humu
 
Chadema kwa kuzua.mwaka 2010 walizua kuna lori limekamatwa likiwa na kura.hivi inaingia akili kweli waziri mzima atembee na kura? Acheni kuota mchana mtapata uchizi

**** kubwa wewe,CCM si balozi,diwani,mbuge,waziri yote yamekaa kiwiziwizi tu. Angalia yule mbuge Gaudencia Kabaka katika kura za maoni ndani ya CCM si alikamatwa na kura akiwa tayari ameshapiga!?
 
Hayo maccm ni majizi kabisa na mwaka huu lazima tuyakamue

Tutayakamua lakini cha msingi ni kuyakamua nini. Tunaweza kuyakamua yakabaki kuwepo lakini ukisema tutayakamua ngama hapo itakuwa poa kwa kuwa hii tunawaua kabisa kisiasa
 
Wakuu kwa habari za hivi punde kutoka Hanang ni kuwa Dr Mary Nagu amekamatwa na maboksi kumi ya kura yakiwa yashapigiwa kura tayari huko Hanang. Sasa hivi amekamatwa yupo Polisi,taarifa zaidi zinakuja.

Majizi sana hayo na mwaka huu lazima tuyaondoe kabisa
 
Wameshaanza kutengeneza mazingira ya vijana kufanya vurugu baada ya mahakama kuondolea mbali kukaa mita 200 toka kwenye kituo cha kupigia kura. Hapa wanacheza na akili za vijana ili ionekane kuwa kuna wizi umepangwa. Nakumbuka issue ya Tunduma nilienda hadi kwenye tukio,vijana tujichunge tusiwe silaha za wanasiasa plz

Pole gamba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom