masaburi hana ubavu wa kuvunja ddc

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Waziri wa TAMISEMI ametoa tamko kuwa masaburi hana mamlaka ya kuivuja bodi ya ddc. Source taarifa ya habari tv.Hawa magamba cjui vp hivi masaburi na tumbo lote lile kama pipa hakuona aibu kabisa kutangaza kuwa ameivunja bodi ya ddc kumbe hana hata chembe ya mammlaka kuivunja ddc nadhani yeye ameprove kuwa anatumia makalio kufikiri na kufanya maamuzi.
 
Ni episode ya tatu na bado nape na mukama watakuja na episode yao
 
Nchi imesimama hakuna uongozi kila mtu anasema vyake viongozi wa serikali ya CCM tangu uchaguzi wamekuwa wakisutana kwenye vyombo vya habari nadhani kuna umuhumu wa kutafuta chanzo kwa nini hawa viongozi wanashushuana wazi mchana kweupe mbele ya umma sishangai nyumba yenye Baba mzururaji siku zote utapata watoto wavuta bangi,malaya,wezi,vibaka,na wanaharamu
 
Back
Top Bottom