Masaa 18 kabla ya kifo cha gaddaf

Gaddafi na Saddam Hussein walikuwa vichaa ambao ukichaa wao ulifichwa nyuma ya madaraka. Kwa mtu mwenye akili ya kawaida angeachia ngazi kwa kutoa masharti kwa nchi za Magharibi wampe upenyo na familia yake aachie madaraka. Ila kwa vile kwa miaka 42 alikuwa akiishi kwa kuabudiwa na kudanganywa, hakuwa anajua kilichokuwa kikiendelea. Jikumbushe usemi wake kuwa walibya wananipenda na wako tayari kunifia asijue walikuwa wakipenda kumtoa roho tena kwa kumkaba na kumbonda kama mwizi wa kuku. Hata ukiwauliza akina Museveni na Mugabe watakupa majibu ya kishenzi kama ya Gaddafi. Wanaomlilia kwa vile alikuwa akiwatupia mabaki ya pesa ya wizi wa walibya walie tu. Hata tupatupa mwingine Chavez karibu atajifia kwa kansa. Kifo cha Gaddafi ni somo kwa washenzi kama CCM na hao niliowataja hapo juu wanaong'ang'ania madaraka. Leo ukimuuliza Kikwete kama anapendwa au kuchukiwa atakwambia anapendwa kwa vile waramba viatu waliomzunguka wanamdanganya kuwa anapendwa wakati anapondwa. Hili ni shairi nililoandika walipoanza kumshambulia Gaddafi.

Go Gadaffi go ye Muamar
Go without turning thy head back ever
The game is up and over sir
Go son of hell, a coward in your own light
Go Muamar go down standing like a dolt
In flames go down like that
In a shame go even faster
Go go Abuminyal go go and others will go
Museveni will go
Kagame will also go
Go leave the mark back
Go like a goon and a stooge
Go the ignoble way go.

Go the world will remember you
Just as a symbol of bulimia
Go son of man
Go Muamar go
It is time to go
Never look back go
Go Gadaffi go
It is time to go.

Go from thy man-made no-go
Go go it’s time to go
go go go go
Don’t turn back go!

Those that you called rats
Are now coming in scores
Who’s between you and em a rat?
Cornered is you tyrant
You are yourself indeed a rat
You called em drugged braggarts
Little knowing you are but a rat
You wrongly thought you’re smart
Cornered is you braggart
Go Gadaffi go.

Tripoli is a no-go
Libya is a no-go
It is only to Zimbabwe you can go
Go Gadaffi go
Go Gadaffi go
Go go go!
 
Hilo nalo Neno, Mkuu!
 
Nabii hatambuliki kwao...Huyo Jesus mwenyewe aliuawa, sembuse gadaf?ambae ashaua watu kibao raia wake kwa kuwaita waasi.
 
I wish wangetupa huyu mtu hata kwa gharama ya richmond mara kumi kuliko takataka tulizonazo!!!!!!!!!!!nabii hatambuliki kwao nimeamini!haya yote waliyonayo, nchi alipoitoa na bado hawaoni kuwa ni mtu mhimu?kweli wasomi wote waliosomeshwa chini ya serikali yake wameona hafai?kweli nyumba zote alizojenga na vyuo vyote wameona hafai?
 
Gaddafi na Saddam Hussein walikuwa vichaa ambao ukichaa wao ulifichwa nyuma ya madaraka. Kwa mtu mwenye akili ya kawaida angeachia ngazi kwa kutoa masharti kwa nchi za Magharibi wampe upenyo na familia yake aachie madaraka. Ila kwa vile kwa miaka 42 alikuwa akiishi kwa kuabudiwa na kudanganywa, hakuwa anajua kilichokuwa kikiendelea. Jikumbushe usemi wake kuwa walibya wananipenda na wako tayari kunifia asijue walikuwa wakipenda kumtoa roho tena kwa kumkaba na kumbonda kama mwizi wa kuku. Hata ukiwauliza akina Museveni na Mugabe watakupa majibu ya kishenzi kama ya Gaddafi. Wanaomlilia kwa vile alikuwa akiwatupia mabaki ya pesa ya wizi wa walibya walie tu. Hata tupatupa mwingine Chavez karibu atajifia kwa kansa. Kifo cha Gaddafi ni somo kwa washenzi kama CCM na hao niliowataja hapo juu wanaong'ang'ania madaraka. Leo ukimuuliza Kikwete kama anapendwa au kuchukiwa atakwambia anapendwa kwa vile waramba viatu waliomzunguka wanamdanganya kuwa anapendwa wakati anapondwa. Hili ni shairi nililoandika walipoanza kumshambulia Gaddafi.

Go Gadaffi go ye Muamar
Go without turning thy head back ever
The game is up and over sir
Go son of hell, a coward in your own light
Go Muamar go down standing like a dolt
In flames go down like that
In a shame go even faster
Go go Abuminyal go go and others will go
Museveni will go
Kagame will also go
Go leave the mark back
Go like a goon and a stooge
Go the ignoble way go.

Go the world will remember you
Just as a symbol of bulimia
Go son of man
Go Muamar go
It is time to go
Never look back go
Go Gadaffi go
It is time to go.

Go from thy man-made no-go
Go go it’s time to go
go go go go
Don’t turn back go!

Those that you called rats
Are now coming in scores
Who’s between you and em a rat?
Cornered is you tyrant
You are yourself indeed a rat
You called em drugged braggarts
Little knowing you are but a rat
You wrongly thought you’re smart
Cornered is you braggart
Go Gadaffi go.

Tripoli is a no-go
Libya is a no-go
It is only to Zimbabwe you can go
Go Gadaffi go
Go Gadaffi go
Go go go!

hivi! Ukiwa una uchu wa madaraka, halafu nchi yako haina shida kama vile unemployment, national income n.k yaani kila kitu unakicontrol vizuri, kuna ubaya? Je, wa libya wana uhakika kuwa watakaye mchagua ataweza kuifikisha libya kama jamaa alivyofanya? Nchi za western zinataka kufanya mambo yao, endeleeni kushabikia neo-colonialism. Endeleeni tu. Ipo siku. Maana wa Afrika tunafichwa na hatujuia mambo yanaenda vipi.
 
Nabii hatambuliki kwao...Huyo Jesus mwenyewe aliuawa, sembuse gadaf?ambae ashaua watu kibao raia wake kwa kuwaita waasi.

Je ukimlinganisha na rais wetu utampa max gani rais wetu? Na je kama yeye alipatwa na hukumu hii, wa kwetu tuwapatie hukumu gani inayowastahili? Tujadili ya kwetu tujikomboe
 
Back
Top Bottom