Mary Chatanda

I know her,a cruel woman never mention,she doesnt fit to be a secretary of any political party,may be Zimamoto chief:A S thumbs_down:
 
so what? i see nothing special about her facia features, cha kutuwekea sura mbaya hapa nini?
 
Mary Chatanda

attachment.php
Huyo ananuka damu ya watu wa Arusha ,asivyo na haya sijui ana smile nini
 
kwa uzuri ni mzuri tuache ushabiki!!!!! na hiyo guest kujenga si ajabu tena mnasema kaguest? huyu mama anaweza kujenga liguest kwa kuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa mbao za umeme ana malori ambayo husafirisha mbao zake kwenda kenya!!! msiwe mnaropoka bila kuchunguza!!!! hiyo ni moja tu ya biashara zake!!!!
 
mzuri kwako si kwa wengine, kwangu mimi uzuri ni combination ya vitu vingi ambavyo sioni hata kimoja kwenye hiyo sura. Kuhusu biashara zake...amekutuma udisclose deals zake?
 
Huyu ulimwengu ndio utamfunza mtu gani hana heshima hata kwa viongozi wa kiroho
 
lakini ni nani anampa jeuri aliyonayo?nimeona anawachana uvccm,hadi mwenyekiti wa mkoa ambaye ndo bosi wake.na kiutaratibu,inakuwaje mbunge wa tanga viti maalum kuwa katibu wa uvccm mkoa mwingine?sura sio issue manake kila mtu ana yake
 
anatembea na chalii mmoja pale arusha ngoja tumshtue mke wake aone atakavyokimbizwa
 
She is actually Beautiful than i thought she is....[/QUOT

Is chatanda beutiful?!! ama unatania mkuu..naamini kama ni hivo basi bibi yangu(89) ungemuona ungeshangaa jinsi anavyomeremeta kuliko chatanda...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom