Mary Chatanda

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
248
Mary Chatanda

attachment.php
 

Attachments

  • CHATANDA 2.JPG
    CHATANDA 2.JPG
    91.1 KB · Views: 621
She is actually Beautiful than i thought she is....

what,yaani hiyo ni picha alafu na makeup alizopaka na hapo anatuela vinginevyo??????????????????????????????????.

ukitaka kujua uzuri wa mtu mtizame asubuhi anapotoka kitandani sura inamvuto gani si wakati ameoga na kujipamba tena akijua camera zinamtazama.
 
Huyu mama bana mtata sana! . Cjui anajickiaje ?? Tabasamu pana bila haya.!

Chetuntu,
Huyu mama ni mubaya linapofika swala la fedha...
Ameshiriki kikamilifu kufilisi SACCOS ya akina mama kule Arumeru, na vijisent hivyo amejenga ka -Guest House kanaitwa Mount Ilulu kapo ARusha, sehemu ya Njiro. Rafiki yangu amewahi kulala hapo...ni sehemu ya maficho ya wazinzi, na yeye huwa yupo kushuhudia ufirauni unaoenedelea hapo.
Kwenye fedha hana mzaha, hata ndoa yake anweza iweka kando....
Waulize wajamaa wa Arusha, wanamjua vilivyo.....
Sisis wa ughaibuni tunaletewaga udaku huu na waliokaribu naye....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom