Mary Chatanda amtuhumu Mzee Joseph Butiku kuwa amehongwa kupinga mkataba wa Bandari

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.

Pia soma

===

"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"

"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
 
Sijui kuna shida gani

Hakuna mtanzania anayepinga hao DP World kuja kuwekeza bandarini .Tunahitaji wawekezaji akiwemo.DP World watanzania tunachopinga ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye huo mkataba
.Kwa hili hata mpige yowe vipi akina Chatanda wapiga debe tupu nk hamtotoi kwenye hiyo hoja

Wapiga debe tupu muelewe hilo

Watetezi wa huo mkataba waelewe hilo
 
Sijui kuna shida gani

Hakuna mtanzania anayepinga hao DP World kuja kuwekeza babdarini .Tunahitaji wawekezaji akiwemo.DP World watanxania tunachopingapinga ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye huo mkataba
.Kwa hili hata mpige yowe vipi akina Chatanda nk hamtotoi kwenye hiyo hoja

Wapiga debe tupu muelewe hilo

Watetezi wa huo mkataba waelewe hilo
Wewe huu ndo msimamo wako na wengine..
Lakini wapo wanaopinga kabisa uwekezaji..
 
MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, DK. MARY CHATANDA AMEMSHAMBULIA VIKALI MWENYEKITI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE, MZEE JOSEPH BUTIKU KWAMBA ANAJIVUNJIA HESHIMA NA KUDAI AMEZUNGUMZA MAMBO YA AJABU KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 NA KUMTUHUMU KUWA SIJUI KAHONGWA KUPINGA MKATABA WA BANDARI

SOURCE; video clip ya dakika 2.02 akiwa Mkoa wa Lindi jana.
Napenda tunapoelekea. Acha warumbane.
 
Kila mtu anastahili heshima ya KUTAMBULIWA na kuthaminiwa utu wake....

Kwa hili la bandari ,komredi Butiku hayuko sahihi....anaendeshwa sana na HISIA kuliko UHALISIA.....

Miongoni mwa sifa za "think tanks" ni kurejea UHALISIA katika kuyalinda maslahi mapana ya nchi....

Dunia imebadilika...

#MamaAnaupigaMwingi
 
Sijui kuna shida gani

Hakuna mtanzania anayepinga hao DP World kuja kuwekeza bandarini .Tunahitaji wawekezaji akiwemo.DP World watanxania tunachopingapinga ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye huo mkataba
.Kwa hili hata mpige yowe vipi akina Chatanda nk hamtotoi kwenye hiyo hoja

Wapiga debe tupu muelewe hilo

Watetezi wa huo mkataba waelewe hilo
Mkuu, ni kweli hatupingi mwekezaji. Ila kwa jinsi ilivyo DPW inabidi pia tuwapinge. Maana ndiyo wali waliosaini huo mkataba kwa niaba ya Serikali ya Dubai ...... kwa hiyo ni wahusika wakubwa. Kama ni mwkezaji itabidi turudi mezani ..... Binafsi nasema "NO' to DPW .....!!
 
MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, DK. MARY CHATANDA AMEMSHAMBULIA VIKALI MWENYEKITI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE, MZEE JOSEPH BUTIKU KWAMBA ANAJIVUNJIA HESHIMA NA KUDAI AMEZUNGUMZA MAMBO YA AJABU KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 NA KUMTUHUMU KUWA SIJUI KAHONGWA KUPINGA MKATABA WA BANDARI

SOURCE; video clip ya dakika 2.02 akiwa Mkoa wa Lindi jana.
Marry Chatanda anachoweza ni hiki , na hapa alikuwepo

2183704_IMG_1183.jpg
 
Sijui kuna shida gani

Hakuna mtanzania anayepinga hao DP World kuja kuwekeza bandarini .Tunahitaji wawekezaji akiwemo.DP World watanzania tunachopinga ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye huo mkataba
.Kwa hili hata mpige yowe vipi akina Chatanda wapiga debe tupu nk hamtotoi kwenye hiyo hoja

Wapiga debe tupu muelewe hilo

Watetezi wa huo mkataba waelewe hilo
Ni WEWE? Saaafi Leo umeweka ukuda kando! Kongole
 
MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, DK. MARY CHATANDA AMEMSHAMBULIA VIKALI MWENYEKITI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE, MZEE JOSEPH BUTIKU KWAMBA ANAJIVUNJIA HESHIMA NA KUDAI AMEZUNGUMZA MAMBO YA AJABU KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 NA KUMTUHUMU KUWA SIJUI KAHONGWA KUPINGA MKATABA WA BANDARI

SOURCE; video clip ya dakika 2.02 akiwa Mkoa wa Lindi jana.
Anatakiwa ajibu hoja za hao watu anaodhani wanapinga Mkataba wa bandari.
 
MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, DK. MARY CHATANDA AMEMSHAMBULIA VIKALI MWENYEKITI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE, MZEE JOSEPH BUTIKU KWAMBA ANAJIVUNJIA HESHIMA NA KUDAI AMEZUNGUMZA MAMBO YA AJABU KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 NA KUMTUHUMU KUWA SIJUI KAHONGWA KUPINGA MKATABA WA BANDARI

SOURCE; video clip ya dakika 2.02 akiwa Mkoa wa Lindi jana.
Hivi CCM imefikia huku?
Nikikumbuka CCM kipindi chetu chini ya Mwalimu nabaki nashangaa sana!
Who is Chatanda?......nani anamsikiliza kiumbe kama huyu?
Anajua hata watu wanacholilia kwenye mkataba ule?
Inachekesha sana.
 
Kila mtu anastahili heshima ya KUTAMBULIWA na kuthaminiwa utu wake....

Kwa hili la bandari ,komredi Butiku hayuko sahihi....anaendeshwa sana na HISIA kuliko UHALISIA.....

Miongoni mwa sifa za "think tanks" ni kurejea UHALISIA katika kuyalinda maslahi mapana ya nchi....

Dunia imebadilika...

#MamaAnaupigaMwingi
Wapi ambapo hayupo sahihi........naomba kufahamu...
 
Wewe huu ndo msimamo wako na wengine..
Lakini wapo wanaopinga kabisa uwekezaji..
Acha uongo bhana wataje hao unao wajua wanapinga mkataba tuu? Umeanza kuruka ruka eeeh? Wewe unajua fika watu wanapinga nini!
 
Labda wewe huwasikikizi vizuri..
Shivji anataka serikali iendeshe Bandari...
Pengo kauliza kwanini hatuwezi endesha wenyewe Bandari...
Tibaijuka kasema Dubai ni mpinzani wetu wa blah blah gani sijui..
Mwambukusi kasema Bandari ni mpaka hatuwezi wapa wawekezaji mpaka....the list goes on...
Sikiliza vizuri uwaelewe...
Sio wote wanaosema vipengele virekebishwe..
 
Komredi Butiku alikuwa wapi kuhoji tenda ya ARAB CONTRACTORS kupewa wamisri wa bwawa la mwalimu Nyerere kipindi cha awamu ya 5?!!!
 
Back
Top Bottom