Marufuku Kumuoa hata kama ana mimba

Tatizo hamfuati biblia

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Huyo binti mwambie asome kwenye kanuni za kanisa la wasabato wameandikaje kuhusu ndoa,hizo kanuni zimenukuliwa kutoka kwenye biblia ambapo inasema msioe wasio na imani moja na nyie.
Wasabato hufuata Amri kumi za Mungu ambazo hazijawa altered,hufuata biblia yote agano jipya na la kale,etc kuoana hapo itakuwa ngumu jombaa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Kuoana haikuwa ngumu, ugumu wame utengeneza wazazi. After all Bibilia watu mnaisoma juu juu na mnalazimisha kuweka mawazo yenu i.e. Kuyafasili maandiko kukidhi matakwa yenu.
 
mimi ni msabato nacho jua mara nyingi wasabato huwa wanamtenga mwanao juu ya lile alilolifanya kiimani lakini ushauri mkubwa huwa ni kwamba yeye arudi kwenye darasa la ubatizo ajifunze upya na kubatizwa na mara ingine kama biti ataruhusiwa kuolewa na mwanaume mwenye dini tofauti ushauri mkubwa huwa ni kwamba mshauri mume wakawe msabato mfunge ndoa na akikataa basi alazimishwa

hiyo kitu haiwezekani!!!!mtoa madausikubali kabisa hawataki chukua mtoto wako wape mtoto wao wamtafutie msbato mwenzie sabato kitu gani bwana mbele yakuzalishiwa mtoto wao kama kuku watakupigia magoti tunaomba umwoe tu ,hakuna mwanamke mwenye dini duniani kabisa wote tunayumbishwa tu leo mlutheri kesho anglikana
 
Kuoana haikuwa ngumu, ugumu wame utengeneza wazazi. After all Bibilia watu mnaisoma juu juu na mnalazimisha kuweka mawazo yenu i.e. Kuyafasili maandiko kukidhi matakwa yenu.

What do you read as reference kama si biblia na hiyo biblia ndio hutumiwa na wasabato na hiyo bible ndio huendelea kutumiwa milele na milele

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu sasa wewe tulia fuatilia binti ajifungue kama ulishaonyesha nia ya kuoa wakakuzingua wewe mwonyeshe binti mapenzi yako yote halafu utupie nyingine lazima waje kwa kukupigia magoti.
 
Tatizo hamkusoma Efeso 5:3-6, na huyo unayesema ni msabato. Msabato unayemuongelea naamini ni msabato na sio mwadventista msabato. Naamini huyo wako anahudhuria jumamosi kanisani na mafundisho yote anayaacha mlangoni.
Haijalishi ni kiti cha thamani gani ambacho shetani amekuketisha juu yake, mwisho wake ni maafa.
NB
Kuna tofauti kubwa sana kati ya msabato na mwadventista msabato.
 
wasikushughulishe kama wanajua mimba ni yako na watailea tatizo liko wapi? mueleze mchumba wako na mwambie kua
huwezi kusubiri sana baada ya mda itabidi uoe sababu huwezi kuka bila mwenzio maishani sasa yeye atajipanga kuwaeleza wazazi wake..........jamani wazazi wengine,wengine wakisha tia mimba wanakimbia wewe umejitokeza imekua tatizo...haya vuta subra na zidi kuomba mungu.............
 
i have a friend too alipatwa na mkasa kama wako ni gal na alikuwa ana mimba msabato pia wazazi wake ni wakali balaa waliweka vizingiti na mkwara mzito binti atoe mimba ili kusiwe na link yoyote hapo, so mimba ikatolewa wazazi walisimamia kazi nzima ya utoaji ila mwisho wa siku kwa kuwa bado walikuwa wanapendana sana, mwanaume akatafuta makazi mapya akasepa na binti kimnya kimnya wanaishi pamoja sasa mambo yanakwenda fresh na wazazi wamebaki njia panda hawana la kufanya mana wao waliamua :decision:
 
Tusifikirie maisha ya hapa tu kuna Mungu jamani yeye ndie alisema hayo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
i have a friend too alipatwa na mkasa kama wako ni gal na alikuwa ana mimba msabato pia wazazi wake ni wakali balaa waliweka vizingiti na mkwara mzito binti atoe mimba ili kusiwe na link yoyote hapo, so mimba ikatolewa wazazi walisimamia kazi nzima ya utoaji ila mwisho wa siku kwa kuwa bado walikuwa wanapendana sana, mwanaume akatafuta makazi mapya akasepa na binti kimnya kimnya wanaishi pamoja sasa mambo yanakwenda fresh na wazazi wamebaki njia panda hawana la kufanya mana wao waliamua :decision:
inakuwaje wazazi wanatumia msimamo wa dini kutoa mimba?? roho zao hazishtuki wanapfanya hivyo au?
 
MWANZO 2 (COPIED AND PASTE)
21Hivyo BWANA Mungu akamfanya Adamu kulala usingizi mzito, naye alipokuwa amelala akachukua moja ya mbavu zake akapafunika mahali pale kwa nyama. 22Kisha BWANA Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwenye ule ubavu aliouchukua kutoka kwa huyo mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa huyo mwanaume.
23Huyo mwanaume akasema,
"Huyu sasa ni mfupa wa mifupa yangu
na nyama ya nyama yangu,
ataitwa ‘mwanamke,'
kwa kuwa alitolewa katika mwanaume.''
24Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.

Hawajasema msabato, wala mlutheri wala Mromani, wala Anglikana. Usiumize kichwa kijana, we jipange kuanza life na huyo mkeo mtarajiwa.
 
Hujui kuna Bwana mmoja,Imani moja Ubatizo mmoja tena wa maji mengi,kufuata amri za Mungu zote,kupumzika siku ya sabato. 2 corithians 6:14 ukisoma hapa utaelewa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
inakuwaje wazazi wanatumia msimamo wa dini kutoa mimba?? roho zao hazishtuki wanapfanya hivyo au?

hapo na mimi nilishindwa kuelewa yani imekaaje ,maana kigezo cha kukataliwa mwanaume ni dhehebu tofauti, eti kutoa mimba ili kusiwe na damu inayowalink kati yao...................sasa katika swala la imani hapo sijui imekaaje,,,,
 
pole sana hili jambo nika ndoto vile nilishakaa na dada mmoja kwa urafiki miaka kama 5 lakini nilipoenda kujitambulisha ilikuwa nongwe shangazi yake alikataa kuwa tunatoka mkoa mmoja yaani ilikuwa kichekesho na biti alitishiwa tukioana atampa radhi au atavua nguo kweli binti aliongopa na siku ya siku ilifikia kuachana bila ugomvi
 
.

Hawajasema msabato, wala mlutheri wala Mromani, wala Anglikana. Usiumize kichwa kijana, we jipange kuanza life na huyo mkeo mtarajiwa.
MUNGU hana dini..hizi dini za wanadamu zimekuja kwetu kwa meli
 
kwa hiyo hapo tatizo ni ( sabatism and adventism plus ellen g whitism)
nafikiri wahusika wameshanielewa
kama vp mzee we oa tu
achana na hao wazazi
 
Unajua watu wanashangaa usabato na Ulutheri. Mimi nimekaa na wasabato wako distant na wakristu wengine...wana sheria nyingi na nyingine zinazotaka fanana na waislamu. Hiyo watu wasishangae..hilo dhehebu liko quit different ndio maana wanasali jumamosi.

Uki date Msabato jua kuna vikwazo mbele vya kidini kwani hawana interaction kiimani na madhehebu mengine.

mimi ni msabato nacho jua mara nyingi wasabato huwa wanamtenga mwanao juu ya lile alilolifanya kiimani lakini ushauri mkubwa huwa ni kwamba yeye arudi kwenye darasa la ubatizo ajifunze upya na kubatizwa na mara ingine kama biti ataruhusiwa kuolewa na mwanaume mwenye dini tofauti ushauri mkubwa huwa ni kwamba mshauri mume wakawe msabato mfunge ndoa na akikataa basi alazimishwa
 
Unajua watu wanashangaa usabato na Ulutheri. Mimi nimekaa na wasabato wako distant na wakristu wengine...wana sheria nyingi na nyingine zinazotaka fanana na waislamu. Hiyo watu wasishangae..hilo dhehebu liko quit different ndio maana wanasali jumamosi.

Uki date Msabato jua kuna vikwazo mbele vya kidini kwani hawana interaction kiimani na madhehebu mengine.

Haujakosea, kwani toka lini nuru na giza vikapatana?.
Haijalishi uthamani wa kiti ambacho shetani amekupatia hapa duniani, mwisho wake ni maafa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom