Avicii
Member
- Sep 16, 2023
- 57
- 68
Habari wanajamii forum wote. Hii ni kwa wake wapenzi wa edm music. Kwa wafuatiliaji wa muziki huo nadhani mtakuwa mnakubaliana na Mimi kuwa Martin Garrix ndiye dj anayekimbiza zaidi kwa Sasa akiwaburuza wakongwe David Guetta, Calvin Harris, The Chainsmokers, Alan walker, Dimitri Vegas, Alleso, Daft punk na wengineo.
Yangu atambulike zaidi 2013 na hit song ya animals Garrix amekuwa akitoa hit baada ya hit mpaka majuzi alipotoa albam yake IDEM yenye hit song Carry you inaendelea kufanya vizuri sokoni. Binafsi nilikuwa namuona David Guetta Kama mshindani wake nzuri Ila yangu aachie "I'm good" 2022 hajatoa hit song nyingine Alan walker ndo kabisaa siku hizi amepoteza wasikilizaji zile Melody zake za kusisimua siku hizi hakuna kidogo Dimitri Vegas wanajitahidi kufanyia remix ngoma za zamani.