Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

Avicii

Member
Sep 16, 2023
56
68
Habari wanajamii forum wote. Hii ni kwa wake wapenzi wa edm music. Kwa wafuatiliaji wa muziki huo nadhani mtakuwa mnakubaliana na Mimi kuwa Martin Garrix ndiye dj anayekimbiza zaidi kwa Sasa akiwaburuza wakongwe David Guetta, Calvin Harris, The Chainsmokers, Alan walker, Dimitri Vegas, Alleso, Daft punk na wengineo.

Yangu atambulike zaidi 2013 na hit song ya animals Garrix amekuwa akitoa hit baada ya hit mpaka majuzi alipotoa albam yake IDEM yenye hit song Carry you inaendelea kufanya vizuri sokoni. Binafsi nilikuwa namuona David Guetta Kama mshindani wake nzuri Ila yangu aachie "I'm good" 2022 hajatoa hit song nyingine Alan walker ndo kabisaa siku hizi amepoteza wasikilizaji zile Melody zake za kusisimua siku hizi hakuna kidogo Dimitri Vegas wanajitahidi kufanyia remix ngoma za zamani.

wallpaperflare.com_wallpaper.jpg
 
View attachment 2935308
Hii Ni Error ya Black Coffee Hao wote piga chini
 
Wote hao hakuna wa kumfikia Kygo..huyu jamaa anatoa mawe juu ya mawe!

David ana combo nzuri na Bebe Rexha,kwa sasa wana ngoma inaitwa One in Million,hata ngoma yake na Petra "When we where young" katisha sana.
Kygo anajua sana hasa ngoma zake za edm zimekaa ki "tropical island" na ni noma sana
Mwingine ni Hall man anangoma inaitwa do whatever makes you happy.
 
Back
Top Bottom