Marrying a chagga

Mbona wachaga tu kila siku?

They are too alogant. They feel like the whole world belong to them. Siunaona wanavyojihami? Na watasemwa kwelikweli!! Bado Wahaya watafuata. Wao swali moja, majibu 2000.
 
They are too alogant. They feel like the whole world belong to them. Siunaona wanavyojihami? Na watasemwa kwelikweli!! Bado Wahaya watafuata. Wao swali moja, majibu 2000.

alogant ndio nini? Wewe utakuwa ni mpare tu!!
Mi si mchaga ila sina matatizo nao..ni wapenda maendeleo kama binadamu wengine wenye akili timamu!!
 
huu ni utanii tuu... lakini wa kiukweli kweli vile!!!

wala hamna ukweli wowote...hawa tunaokutana nao humu mjini mbona hawana tofauti yoyote na wamakabila mengine wanaoishi mjini? kama ni kupenda hela wangapi hapa mjini wasiopenda hela?

wale wa vijijini wala hata hatuwajui wapo huko kirua vunjo, kishumundu nk, wanaolewa na wachaga wenzao kama wengine wote wamakabila mengine wanavyofanya vijijini kwao

huu ni uzushi tu wa kale tu unaoendelezwa hapa,
 
huu utani mwingine mtatufanya wenye gf wa kichaga turudishe majeshi nyuma....
 
Tutake tusitake kuna ka ukweli fulani humo.Kuna jamaa yangu kyasaka alijitambulisha kwa family ya kichaga...my God aliulizwa ana nini katika kujiendeshea maisha yake,maskini hakuwa na kitu basi gf alielekezwa na parents zake ampige chini na ndo ukawa mwisho wa mchezo.
Hii habari ni UTANI lakini deep inside ina ukweli kwa asilimia 95.
 
hizo zinaitwa choko choko we dnt expect Mwana JF kukosa something educating than this tuelimishane jamani tuache kuwa self centered lets do things for Jamii, ni hayo tu!
 
Tutake tusitake kuna ka ukweli fulani humo.Kuna jamaa yangu kyasaka alijitambulisha kwa family ya kichaga...my God aliulizwa ana nini katika kujiendeshea maisha yake,maskini hakuwa na kitu basi gf alielekezwa na parents zake ampige chini na ndo ukawa mwisho wa mchezo.
Hii habari ni UTANI lakini deep inside ina ukweli kwa asilimia 95.

sasa kama mtu hana kitu katika kujiendeshea maisha yake anataka kuoa ili nini? auzidishe umasikini na kuongeza ombaomba????
Mashemeji zangu nawapenda sana kama sio nguvu zao wachanga uchumi wetu sijui ungekuwa wapi? na kama watu wote wangekuwa aggresive kwenye kutafuta hela kama wachaga means tusingekuwa na umasikini tulionao tanzania.
kama watanzania wangewashauri watoto wao kwenye masuala ya ndoa kama wachaga means Vijana ingebidi wafanye kazi kwa bidii ili wapate maendeleo kabla ya kuoa na wala sio wakae watafute watoto wa wenyenazo ili wafaidi vya wakwe...........
Imagine kama kungekuwa na desturi kaabla mtu haujaoa lazima uwe umejipanga katika maisha na uwezo wa kulea familia si ungekuta tuko mbali na ombaomba wasingekuwepo????

Mlinganishe mama Anna mkapa na Chenge.
Mchaga akipata hela lazima ajenge kwao, ndo maana mama Anna hela zote alikuwa anajenga nchi yake kwa ku invest hapahapa, alivyosikia Kiwira inauzwa akasema 'Babangu si afadhali tuichukue tu burebure ibaki hapa kwetu kuliko kuuzia VYa saaaaaaaaaaaaaaaakaaaa wazungu eti mbeeeeeeeeeee!
Mchaga kuuza kiamba ni laana sasa vyasaka wanauza mpaka makaburi shame!

sasa chenge yeye kitu cha kwanza anaiba hapa anakimbiza nje, na anaona sifa kusema By the way nina ma investment kibao huko ulaya bwana.. Mimi mwafrica mzungu bwana hata nguo zao zinanukia ulayaulaya tu....
Napenda kuwaomba shemeji zangu msiwasikilize vyasaka ni mbelekwa mbele Pesa kwanza mambo mengine baadae...
 
Kuna watu wana chuki binafsi humu jamvini kwanini mnawaandama sana wachagga ni kwa sababu they are better off kimaisha kidogo??? wachagga wachaaga wachagga mnalipenda hilo kabila ndo maana mwalisema sana. mara kwenye mapenzi mara kwenye maisha ya kawaida why dont we jadili other kabilaz than wachagga kwa nini msiseme wakurya au wahaya au wapemba au wazaramo eeee??

Nawasilisha
 
mnhhhhh...na wewe naona huna tofauti saaaana na hao wanaowajadili wachga...issue sio ajadiliwe mpemba au mkurya au msukuma...ishu iwe TUSIJADILI MAKABILA NA UKABILA...na mbaya zaidi ku-generalize vijitabia vibovu vya watu wachache wa kabila fulani kuwa ndio tabia za watu hao...NI MAONI TUUU
 
Ujumbe tunaopewa hapa ni kwamba dhambi ya ubaguzi ukishaitenda inakuandama to the last detail. Watu wanabagua wenzao kwa kabila, halafu wanaendelea kubaguana wenyewe ndani ya hilo kabila, inashuka hivyo hadi kwenye ukoo na hata familia. Na ni kweli kabisa wachagga hufanya hivyo. Sifa nyingi nzuri wanazo, lakini na hii ya ubaguzi pia ni yao, na iko wazi mno kiasi ni aibu hata kujaribu kukana.
 
mnhhhhh...na wewe naona huna tofauti saaaana na hao wanaowajadili wachga...issue sio ajadiliwe mpemba au mkurya au msukuma...ishu iwe TUSIJADILI MAKABILA NA UKABILA...na mbaya zaidi ku-generalize vijitabia vibovu vya watu wachache wa kabila fulani kuwa ndio tabia za watu hao...NI MAONI TUUU

Hapo umenipata na ni kweli unachosema kwa nini umjadili tu kutokana na kabila lake???? Si vema hata kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom