Marrying a chagga

Tuwe wakweli!! Ukioa mchaga UMEPATA mke! Ni wapenda maendeleo na wayajua mapenzi!! Mie naenjoy kinoma thou I'am a Kyasaka
 
Mimi sio mchaga
nimewafakamia wachaga zaidi ya nusu ya maisha yangu na sijaona kama wako hivyo.

Hizi copy na paste bwana zinamfaa SHY peke yake
 
Ukweli ndio huo, mashori wa kichaga NOMA!!!! Wanataka Toyota Stout na kabati ya mbehu!!!

na ng'ombe wa maruwa......hahaaaa mahitaji muhimu sana y amaisha hayo sasa shida iko wapi??
 
wachaga wamekuwa kama zitto humu J.F. Kwani Tz kuna makabila mangapi mpaka kila siku wanazungumziwa wao tu. something fishy about chaggaz must be going on over here.
 
wachaga wamekuwa kama zitto humu J.F. Kwani Tz kuna makabila mangapi mpaka kila siku wanazungumziwa wao tu. something fishy about chaggaz must be going on over here.

like wat.....
 
Wangambila stupid in furonti of public? natafuta nafwasi nilonge na mshikaji wako avute muda kumbe we bado!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom