MARLAW mzee wa kiduku aachia website ya ukweli sana

dell

Member
Apr 15, 2009
10
2
MARLAW mzee wa pii pii ameachia website ya ukweli sana ambayo sijawahi kuona toka kwa msanii yoyote hapa bongo mwenye website kali na ya ukweli kama hiyo.

muziki unasikika clear sana, na website imepangiliwa kiukweli sana na inavutia.

huo ni mwendo mzuri wa kijana Marlaw ambapo na wasanii wengine wakifuata nyayo zake hope bongo ikatoka zaidi kimuziki.

website hiyo inapatikana kwa: http://marlawmusic.com/ na Facebook page yake ni http://www.facebook.com/MarlawMusic

haya angalieni wenyewe muone maendeleo ya bongo
 
Dogo angeweza kuwa na future nzuri lakini aliharibu pale alivyoanza kujiassociate na politcs kwenye kwenye kile kipindi cha kampeni. Music should create and foster community by speaking to people's needs, hopes, fears, and intimate lives but not certain political parties or politicians.
 
Local promo...bwana mdogo kasimama...ni hatua moja ktkt nyingi za kusonga mbele..ikumbukwe kua hatua ni sehemu ndogo ya mwendo ambayo inatakiwa kuchanganywa na nyingine kupata mwendo kamili
 
Nimeipenda, ni nzuri kweli.. Cha muhimu awe anajitahidi kui-update

Good Job
 
Dogo angeweza kuwa na future nzuri lakini aliharibu pale alivyoanza kujiassociate na politcs kwenye kwenye kile kipindi cha kampeni. Music should create and foster community by speaking to people's needs, hopes, fears, and intimate lives but not certain political parties or politicians.

thats money bro CCM walitoa pesa nyingi sana sio ya kuiacha kabisa piga show chukua hela yao ukimaliza potea
 
Ni kweli maono yako ni fundisho kwa wengine waangalie sana kujihusisha na siasa zitwamaliza,kama wamekodiwa kufanya show waweke wazi ili ijulikane kuwa pale anavuta pesa na hayuko katika siasa itawasaidia sana,siasa ni mbaya sana ukujiingiza kichwakichwa mbele ya safari hujui ubaya wake.
 
MARLAW performed in london yesterday,PROMOTERS wamemwangusha huyu kijana,amepanda stage saa tisa usiku????the damn venue had seen better days-audience of around 30 people-he performed with kenyas Jua Kali. under publicity meant kenyans did not even know jua kali was in town-i have yet to see such poor organisation.Well this was a proper letdown-Tanzanian promoters you need to raise up the bar
 
Dogo angeweza kuwa na future nzuri lakini aliharibu pale alivyoanza kujiassociate na politcs kwenye kwenye kile kipindi cha kampeni. Music should create and foster community by speaking to people's needs, hopes, fears, and intimate lives but not certain political parties or politicians.

Unasemaje kuhusu Mr.II?
 
website inakosa kitu kimoja muhimu sana. About me/ud/who is marlow?
mtu mpya ambaye hamjui marwal akifungua website inabidi apate muhtasari kidogo kuhusu marlaw. hilo halipo, they need to reconsider that
 
hapo umeongea mkuu, ninyi ndio watu mnaopenda maendeleo, kweli bio inakoseka hope jamaa atakuwa analifanyia kazi, swala ni kuangalia mapungufu kama hayo na kukosoa,

hope jamaa nalifanyia kazi swala la Bio maana ni muhimu sana kama Wimbo na ala
 
thats money bro CCM walitoa pesa nyingi sana sio ya kuiacha kabisa piga show chukua hela yao ukimaliza potea

mi pia shabiki sana wa marlaw,sema tu anaharibu anapoamua kuna na majizi wa kodi zetu. Ofcourse ela ndo tunaitafuta lakini si kwa kusaliti watz,marlaw achana na siasa utupe burudani! Höngera marlaw!
 
Back
Top Bottom