Marlaw arudi kwa kishindo; Sikiliza sauti tamu ya Marlaw kwenye wimbo 'Taa'

Ila jamaa sijui katumia mbinu gani kumtuliza Besta manake,wanawake wenye mishepu kama ya Besta plus umaarufu wengi wao ni wasumbufu kwenye ndoa.
 
Huyu jamaa sijui alipatwa na nini alipaa akazima ghafla yaani huyu ndio alikuaga ana trend kama diamond kipindi kile yani wadau kuna anaejua alipatwa na nini?
 
Marlaw ana sauti nzuri sanaaaa huyu kaka uwiii, toka zamani mimi shabiki sanaaa. Marlaw karibu tenaa
 
Kizazi kinachouelewa muziki wake kilishavurugwa na maisha. Anahitaji juhudi na maarifa kuweza kukiteka kizazi cha sasa.
 
Back
Top Bottom