Marketing ladies required - Arusha

Mbulumundu

Member
Dec 19, 2011
10
4
Office : Afroweb Studios Arusha.

Sifa: Awe msichana mwenye upeo mzuri katika masoko na uzoefu kwenye kazi hiyo au yenye mahusiano na hiyo. Awe mkazi wa Arusha mwenye uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya kiingereza. Certificate, Diploma na Degree in Marketing itakuwa sifa ya nyongeza ingawa utayari na ufanisi ndiyo vinazingatiwa.

Maombi: Piga namba za simu zifuatazo kabla ya saa nne asubuhi ya tarehe 29/04/2013, baada ya hapo maombi yote hayatapokelewa, upigapo namba hii eleza ulipo,ukiwahi maeneo ya Annex hotel eneo liitwalo Kariakoo kabla ya saa nne kesho itakupa asilimia nyingi za kupata kazi hii.
Shadrack: 0765788885
Joel : 0762605994
 
Mmmmmmmmmmmmmh simu kwanza kabla ya kazi kuna ukwel wa mambo hapo kwel???????mm naitaka hiyo kaz ila cpo Arusha naweza kutuma maombi??????
 
Hii kazi ipo kwa watu wa Arusha tu, call either of the numbers provided upate maelekezo. Naondoka internet kwa sasa!
 
Back
Top Bottom