mbona huwasemi Chadema chenye uhusiano na Conservative cha Uingereza ambacho Waziri wake Mkuu David Cameroon anawapa msaada wa fedha kwa sharti la kuunga mkono sera yake ya kutetea mashoga? Nyani haoni kundule!
mbona mume amekaa kimya
mbona huwasemi Chadema chenye uhusiano na Conservative cha Uingereza ambacho Waziri wake Mkuu David Cameroon anawapa msaada wa fedha kwa sharti la kuunga mkono sera yake ya kutetea mashoga? Nyani haoni kundule!
CUF ni chama cha Haki Sawa kwa Wote.
Haki sawa kwa wote inajumuisha watu wote wakiwemo gays, wasagaji, wasagwaji, nk.
Vingenevyo waseme wanakuwa na maana gani wanapose haki sawa kwa wote?
Dah,
Hapa sielewi elewi????
Naona ma tingo wanapigana wenyewe kwa wenyewe Sie madereva wacha tuangalie ....
Angalia na wabunge wao CUF wanaongea huku wamebana pua
Acha kulialia na kutoa mapovu hapa, jibu hoja.Mkuu hivi yule Mbunge wa kike anayetuhumiwa kujihusisha na vitendo vya kisagaji anatoka chama gani vile???
subiri washike dola watakavyo kutigo, chezea cuf wewe? Tunamshukuru mola kwa kutuangazia juu ya chama hiki, mara udini, mara usagaji na ushoga! Watanganyika tuwe makini na watu hawa, tuwaogope kama ukoma!hi hutumba haiwezi kumsaidia mtanganyika wa kawaida mwenye matatizo ya maji elimu njaa na umasikini
watu wakitowa hutumba ikiwa za upinzani au za chama tawala lazima ziwanufaishe watanganyika wazanzibar na tanzania
huwezi kuwa mpinzani halafu ukawa unamsakama mpizani mwezako ambae hajawahi kushika dola na kumsababishia mtanganyika njaa kuishi katika nyumba za nyasi na kusafiri na barabara za vumbi ,mfumo mbovu wa elimu na matatizo ya kila aina
kwani kushirikiana na shoga kuna tatizo gani? ikiwa cuf hawaja hubiri sera za ushoga kwenye sera zao au kupigania sera za mashoga katika katiba mpya
kuna ubaya gani kushiriana na mgonjwa wa ukimwi wakati hakuambukizi wala hakufanyii ubaya si munakaa nao wagonjwa si munaishi nao
yawezekana ikawa mbaya wa chadema yumo ndani ya chadema
fikiria kabla ya kuzungumzakile unacho kizungumza ,na zungumza kwa kile ulichokifikiria kukuzungumza
we si boga tu. Huwezi kuelewa
Angalia na wabunge wao CUF wanaongea huku wamebana pua
,anatoka ccmmkuu hivi yule mbunge wa kike anayetuhumiwa kujihusisha na vitendo vya kisagaji anatoka chama gani vile???
Sasa wanakataa nini hawa mashoga?
Duh! Bahati yako kwa vile unaichangia JF lakini kinyume na hivyo mods wangekupiga ban!
Kwani uongo? Kanusheni kwamba hamna uhusiano na vyama vya kiliberali, na kannusheni kupokea miasaada kutoka katika vyama hivyo! Vinginevyo haifutwi kauli na shurti isomwe! Hongera CDM kutufungua mimacho!