Marekani yaionya Iran kuhusu kinachoendelea Israel, inabidi Iran iendelee kukaa kimya

Iran bado ni kitisho Mashariki ya Kati! Kunahitajika kuifanya kama Iraq wakati wa utawala wa Saddam.
Sasa hivi Iran ni moja ya nchi zenye teknolojia ya juu katika kutengeneza silaha.
 
Kuna uwezekano mkubwa kwa hii vita kusambaa zaidi katika maeneo ya mashariki ya kati, dalili zinaonyesha ndani ya wiki kadhaa Israel huenda ikaanza kushambulia mpaka mataifa rafiki ya Palestina yanayohisiwa kufadhili kikundi cha Hamas na Hezbulah
Putin yule jamaaa yupo full ni hatari
 
Marekani ni kelele tu kama.Israel hajawahi ingia vita yoyote peke yake hebu nipeni wapi Israel na US walingia vita peke yao bila msada.

Iran ndio kabisa hamuogopi America
Sasa si aende akawasaidie ndugu zake na washirika wake Hamas wanachapika?
 
Back
Top Bottom