Hakuna Team ya Mpira Duniani iliyokuwa na mafanikio wakati Flani/Sasa hivi bila kuwa na Uongozi Mzuri

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,729
3,288
Habari Mwanajukwaa la Sports.

Nianze kwa kusema;
Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia.

Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani kwa sababu ya Uigizaji wao.

Watu wanaVunja Benki wanaenda kuleta KOCHA wa Gharama wanahisi Mpira unakamilishwa na Kocha Pekee inachekesha sana.

Timu ya Mpira ni Taasi kama Taasisi zingine na Kila Taasisi ili iwe na Mafanikio lazima iwe na Uongozi Madhubuti.

Huwez kuleta wafanyakazi wachapakazi wakat Directors au CEO ni wapiga URABU..Lazima na wao wawe wapigaji wa kazi kwelikwlei.

Mifano ipo mingi inayo support hiii Mada yangau tena mifano ya saiv hata ya zamani ipo.

Hizi ni Baadhi ya vilabu vilivyowahi kua na Mafanikio wakat flani au hadi sasa na hilo lilifanikishwa na Uongozi Mzuri

BARCA
MADRID
MAN CITY
AC MILAN
BAYERN
AJAX
JUVENTUS
ARSENAL
CHELSEA
AL AHALY
MAMELODI
Mifano ipo Lukuki hivi Vilabu vimewahi ongozwa na Makocha wa kawaida na ambao hata hawakua na Status yoyote ila vVikafanya Makubwa na hadi vilipofika hapo ni sababu ya uongozi Mzuri sio Makocha wazuri Pekee.

Weken viongozi wenye maono na wapenda Football,sio lazima wawe wa Tanzania taften hata watu kutoka Nje waje wawasaidie.

Hii Mada ni special kwa Team zote za Tanzania,hasa hasa hizi Giants AZAM,YANGA,SIMBA.

Ila kuna Mmoja inamhusu sana kwa Sasa.

#SHABIKI LIALIA WA KOLO WAS HERE
 
Umeongea Ukweli Mtupu kaka.

Nilipokuwa nafuatilia mpira wa Bongo KABLA SIJAACHA 2024.

NILIGUNDUA.
1. MO DEWJI ni tapeli na si Muwekezaji.

2. Babra alijitoa u CEO Kwasababu ya Friends of Simba.

3. Kajula si Mtu wa Mo ni Mtu wa Friend of simba kupata maslai yao.

HUWEZI UKAWA MUWEKEZAJI SERIOUS MWENYE NDOTO YA KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA UKIWA NA WACHEZAJI WAMCHONGO KAMA .

1. Thairone santos.
2.Frager silver
3.peter Moduha.
4. Perfect Chikwende.
5. Luis Miquesson.
6 .Ismail Sawadogo.
7. Fredy Coblan.
8. Said Ntibazonkiza.
9. Mohamed Ottara
11. Junior Lokosa.
12. Emerson Okwa nk

PUMBAVU KABISAAAAAA
 
Fraga mtoe labda Jana una chuku binafsi. Mo nitapeli labda yanga ikikamilisha uwekezaji Simba ndio watashtuka.Kila siku alikuwa analalamika anakwamisha uwekezaji lakini alikuwa anataka hati ya jengo la Simba huku akijua zoezi halijakamilika.
 
Umeongea Ukweli Mtupu kaka.

Nilipokuwa nafuatilia mpira wa Bongo KABLA SIJAACHA 2024.

NILIGUNDUA.
1. MO DEWJI ni tapeli na si Muwekezaji.

2. Babra alijitoa u CEO Kwasababu ya Friends of Simba.

3. Kajula si Mtu wa Mo ni Mtu wa Friend of simba kupata maslai yao.

HUWEZI UKAWA MUWEKEZAJI SERIOUS MWENYE NDOTO YA KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA UKIWA NA WACHEZAJI WAMCHONGO KAMA .

1. Thairone santos.
2.Frager silver
3.peter Moduha.
4. Perfect Chikwende.
5. Luis Miquesson.
6 .Ismail Sawadogo.
7. Fredy Coblan.
8. Said Ntibazonkiza.
9. Mohamed Ottara
11. Junior Lokosa.
12. Emerson Okwa nk

PUMBAVU KABISAAAAAA
Mkuu huu ndio ukweli...Asante kwa kuongeza Madini
 
Hii list uloitaja imenikumbusha msimu Jana.
Hiv okwa Yuko wapi??!
Sawadogo nae kapotelea wapi, Simba ilikia inafuga genge la wahuni tu na Bado wanaendelea palepale.
 
Habari Mwanajukwaa la Sports.

Nianze kwa kusema;
Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia.

Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani kwa sababu ya Uigizaji wao.

Watu wanaVunja Benki wanaenda kuleta KOCHA wa Gharama wanahisi Mpira unakamilishwa na Kocha Pekee inachekesha sana.

Timu ya Mpira ni Taasi kama Taasisi zingine na Kila Taasisi ili iwe na Mafanikio lazima iwe na Uongozi Madhubuti.

Huwez kuleta wafanyakazi wachapakazi wakat Directors au CEO ni wapiga URABU..Lazima na wao wawe wapigaji wa kazi kwelikwlei.

Mifano ipo mingi inayo support hiii Mada yangau tena mifano ya saiv hata ya zamani ipo.

Hizi ni Baadhi ya vilabu vilivyowahi kua na Mafanikio wakat flani au hadi sasa na hilo lilifanikishwa na Uongozi Mzuri

BARCA
MADRID
MAN CITY
AC MILAN
BAYERN
AJAX
JUVENTUS
ARSENAL
CHELSEA
AL AHALY
MAMELODI
Mifano ipo Lukuki hivi Vilabu vimewahi ongozwa na Makocha wa kawaida na ambao hata hawakua na Status yoyote ila vVikafanya Makubwa na hadi vilipofika hapo ni sababu ya uongozi Mzuri sio Makocha wazuri Pekee.

Weken viongozi wenye maono na wapenda Football,sio lazima wawe wa Tanzania taften hata watu kutoka Nje waje wawasaidie.

Hii Mada ni special kwa Team zote za Tanzania,hasa hasa hizi Giants AZAM,YANGA,SIMBA.

Ila kuna Mmoja inamhusu sana kwa Sasa.

#SHABIKI LIALIA WA KOLO WAS HERE
Try Again
Kajula
Mangungu

Hili ni genge la wapiga dili pale Simba. Wachezaji wanaosajiliwa aaipokubali kutoa % Kwa Jaribu Tena anasepeshwa. Mfano mzuri ni Kakolanya. Kama Try Again anabisha hili ajitokeze nimuumbue.
 
Mikia FC inawahusu.
 
Umeongea Ukweli Mtupu kaka.

Nilipokuwa nafuatilia mpira wa Bongo KABLA SIJAACHA 2024.

NILIGUNDUA.
1. MO DEWJI ni tapeli na si Muwekezaji.

2. Babra alijitoa u CEO Kwasababu ya Friends of Simba.

3. Kajula si Mtu wa Mo ni Mtu wa Friend of simba kupata maslai yao.

HUWEZI UKAWA MUWEKEZAJI SERIOUS MWENYE NDOTO YA KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA UKIWA NA WACHEZAJI WAMCHONGO KAMA .

1. Thairone santos.
2.Frager silver
3.peter Moduha.
4. Perfect Chikwende.
5. Luis Miquesson.
6 .Ismail Sawadogo.
7. Fredy Coblan.
8. Said Ntibazonkiza.
9. Mohamed Ottara
11. Junior Lokosa.
12. Emerson Okwa nk

PUMBAVU KABISAAAAAA

Hahaahah naona umeamua kuweka orodha yako tokea enzi.
 
Try Again
Kajula
Mangungu

Hili ni genge la wapiga dili pale Simba. Wachezaji wanaosajiliwa aaipokubali kutoa % Kwa Jaribu Tena anasepeshwa. Mfano mzuri ni Kakolanya. Kama Try Again anabisha hili ajitokeze nimuumbue.
Waondoke zao ma mtu Full Maigizo kila sehemu..Mar tuzo ya mashabiki bora, mara kibegi,mara Team inayofatiliwa zaidi yenyewe hayawazi maswala ya uwanjan
 
Habari Mwanajukwaa la Sports.

Nianze kwa kusema;
Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia.

Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani kwa sababu ya Uigizaji wao.

Watu wanaVunja Benki wanaenda kuleta KOCHA wa Gharama wanahisi Mpira unakamilishwa na Kocha Pekee inachekesha sana.

Timu ya Mpira ni Taasi kama Taasisi zingine na Kila Taasisi ili iwe na Mafanikio lazima iwe na Uongozi Madhubuti.

Huwez kuleta wafanyakazi wachapakazi wakat Directors au CEO ni wapiga URABU..Lazima na wao wawe wapigaji wa kazi kwelikwlei.

Mifano ipo mingi inayo support hiii Mada yangau tena mifano ya saiv hata ya zamani ipo.

Hizi ni Baadhi ya vilabu vilivyowahi kua na Mafanikio wakat flani au hadi sasa na hilo lilifanikishwa na Uongozi Mzuri

BARCA
MADRID
MAN CITY
AC MILAN
BAYERN
AJAX
JUVENTUS
ARSENAL
CHELSEA
AL AHALY
MAMELODI
Mifano ipo Lukuki hivi Vilabu vimewahi ongozwa na Makocha wa kawaida na ambao hata hawakua na Status yoyote ila vVikafanya Makubwa na hadi vilipofika hapo ni sababu ya uongozi Mzuri sio Makocha wazuri Pekee.

Weken viongozi wenye maono na wapenda Football,sio lazima wawe wa Tanzania taften hata watu kutoka Nje waje wawasaidie.

Hii Mada ni special kwa Team zote za Tanzania,hasa hasa hizi Giants AZAM,YANGA,SIMBA.

Ila kuna Mmoja inamhusu sana kwa Sasa.

#SHABIKI LIALIA WA KOLO WAS HERE
"Weken viongozi wenye maono na wapenda Football,sio lazima wawe wa Tanzania taften hata watu kutoka Nje waje wawasaidie."

Azam wakirekebisha hapa wanaweza kuwa timu kubwa sana barani Africa.Ila watani kuwarekebisha ni ngumu na hata mabadiliko kwao yapo polepole sometimes wanarudi nyuma kabisa.
 
Mikia bila kubadilika na hao wakina jaribu tena na kuwa na watu wa mpira tena professional wataendelea kulia miaka na miaka.Kocha nae kala kona kaona Hali si hali .
 
"Weken viongozi wenye maono na wapenda Football,sio lazima wawe wa Tanzania taften hata watu kutoka Nje waje wawasaidie."

Azam wakirekebisha hapa wanaweza kuwa timu kubwa sana barani Africa.Ila watani kuwarekebisha ni ngumu na hata mabadiliko kwao yapo polepole sometimes wanarudi nyuma kabisa.
Azam nao Uswahili Mwingi sana..

Products zingine zote za Azam ni Quality ila hii ya Football very very worse
 
Back
Top Bottom