Maranja Masese Kuhojiwa STAR TV

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,718
218,266
Martin Maranja Masese , Mwanasiasa chipukizi kutoka Kanda ya Serengeti , ama kiboko ya mitandao au waweza kumwita MFICHUA PGO , hasa baada ya kusimama kidete na kurusha dunia nzima kesi ya Ugaidi wa uongo aliyobambikiwa Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , kiasi cha KUGUNDULIKA KWAMBA AFISA WA POLISI ACP KINGAI KUMBE HAJUI LOLOTE KUHUSU PGO , ambao ndio mwongozo wa Jeshi la Polisi Tanzania , Kesho atatikisa tena dunia atakapokuwa kwenye kipindi kinachoitwa Medani za siasa huko STAR TV .

Ni Jumamosi tarehe 03/09/2022 , saa 3 unusu usiku , kwa saa za Tanzania , Hapa sasa ndio utaelewa Tofauti ya BAVICHA na UVCCM
FB_IMG_1575390800494.jpg

Wote Mnakaribishwa .
 
View attachment 2343393

Wote Mnakaribishwa .
Mungu mbariki MMM na Chadema kwa ujumla
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Who is this shit?
 
Back
Top Bottom