Ruta ..hizo sababu alizozandika mbalisana inabidi nijiangalie ..ial mimi simo kwene hizo sababu alizoziweka hapo na wala mimi sio sharo kiviile labda kwa vile napiga mazoezi na kikapu kwa sana sijui
unamaanisha nin ukisema hisia?
ha ha ha
duh, ruta bwana
Wakipata hisia za ngono kwa mtu fulani,tosha hawaangalii mambo mengine!
umri umesogea yabidi tuachie vijana wenye makeke bado.............
Ng'ombe hazeeki maini