Maraha ya mvulana wa kugombaniwa............

Ruta ..hizo sababu alizozandika mbalisana inabidi nijiangalie ..ial mimi simo kwene hizo sababu alizoziweka hapo na wala mimi sio sharo kiviile labda kwa vile napiga mazoezi na kikapu kwa sana sijui

nionavyo lazima una mvuto fulani ambao ndiyo unawapelekesha puto..............khalafu mengineyo hujitokeza baada ya kuriidhika na taswira yako ya nje...........................ingawaje sometimes they don't know why they fall for a certain guy............sometimes it is a question of mood...............
 
Back
Top Bottom