Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,174
Kuna kibinti kimoja hapa mtaani kwangu kimesikika kikiapa kuwa lazima kitembee na mvulana mmoja ambaye husifika kwa mabinti kumgombania.....................sababu hazieleweki kwa uwazi sana..........kwa nini kijana huyu husakwa kwa udi na uvumba.............maana hana nyuma wala mbele kwa maono yangu ya kiutu uzima....
binti huyu anadai kachoka kusimuliwa khabari za huyo kijana kwa hiyo anataka naye mvua zimnyeshee.....simulizi tajwa hayuko tayari kuwajuza wenzie........
tatizo wote wapo kwa aidha walezi au wazazi........................hawajui kusaka mkate wao................what a waste of God given talents............