Kuna ubaya gani kuwa na marafiki (Si wapenzi) wa jinsia tofauti?? Mbona mie sieleweki wapendwa msaada kwenye tuta

Hakuna ubaya tena ndio vizuri sana.
hee husninyo ushauri huo...
Kuna ubaya gani kuwa na marafiki (Si wapenzi) wa jinsia tofauti?? Mbona mie sieleweki wapendwa msaada kwenye tuta
kweli kabisa rafiki yangu wa jinsia tofauti:A S shade:nani hakuelewi?....mbona humu Jf tupo marafiki wengi mchanganyiko....au wewe una matatizo?
Jifunze kuwa ukishaolewa hutakiwi kuwa na marafiki wa karibu wa kiume. I mean wa karibu, tena wa kudumu. NOOO!