Marafiki Wa JF & Regia Kukutana Ijumaa Hii 27-01-2012

dah! basi mkuu mie nilikuwa nafikiria kutoa kamchango kidogo nkahisi ntaaibika nisije kabisa kumbe kamchango kangu kanatosha? ntakuja mkuu, nilijuwa watu wanaanza kuchangia kuanzia kilo 1 aisee.

Mkuu wangu, mtaji mkubwa wa JF si pesa, ni mawazo yaliyokwenda shule, ndo maana mimi na wewe na yule tunapata faraja kuongelea mambo mbalimbali.

Tutafarijika sana kusikia mawazo yako ya kujenda, so karibu sana Mkuu.
 
...nitashiriki physically all the way from nkasi...napanda basi kesho.

hongera sana superman kwa wazo zuri kabisa...!

Kiongozi wangu Teamo karibu sana na tutafurahi kuwa pamoja. Unaju nyie ndo iCON ya JF.

Inatia moyo zaidi hasa ikizingatia kuwa unatoka mkoani kuwahi hii meeting. Big up sana.

Halafu Mkuu umechanganya majina: This is: Sanctus Mtsimbe. Nakuombea msamaha mapema kwa Mods . . .

Nitaongeza jina lako katika list.
 
mkuu unajibu kaa jesus? poa, ntakuwepo inshalah.

Daah! Mkuu angalia usije ukapigwa mawe na "Mafarisayo".

"Huoni ni jambo jema ndugu kukaa pamoja na kuongea yanayowahusu?" Bila shaka Mungu atakuwa pamoja nasi kwani nia ya kukutana ni njema.
 
Ngoja niangalie muda wangu kama utaniruhusu takuja ikishindikana takuwepo kwa njia ya Skype.

Mkuu Mchuzi wa Bata tuko pamoja.

Kitu ambacho nina uhakika ni kuwa ukikosa kufika hakika utakosa mengi sana. Pia utakosa nafasi njema sana ya kukutana na watumbalimbali na kuwezo Ku-Network.

Liangalie vema suala hili na usipange kukosa kufika kama uko DSM na ndiyo maana tukaweka muda ambao utakufanya uweze kushiriki.

Binafsi natamani sana uwepo maana hoja zako nyingi hapa JF zimefika "Havard University". Nitasononeka sana ukikosekana.
 
Back
Top Bottom