FYI,
DR. (PHD) sio honered kama best yako kikwete,
W. SLAA ni rais halali wa nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Tanganyika)
I hate you kikwete, i hate you very much!
Wingi wa watu kuhudhuria mikutano sio lazima wawe wote wanakukubali. Hapo wapo mchanganyiko wengine ni wasikilizaji tu, wengine wa vyama vingine. Na NOTE kuwa hali ngumu ya maisha inawavuta watu wengi kuja kusikiliza kama kuna jipya la kuwaboreshea maisha na sio kwamba wataamini kila unalosema. Wanapima, wanachuja. Hivyo wingi wa mahudhuria si hoja.

Siku zote ukiwa muongo muongo na msanii ndio unapata umati wa watu kukusikiliza, hakuna cha zaidi.
Mara oooh Dowans ya Kikwete, mara ooohhh Mkuu wa mkoa kafa. Mara ooohhhh, nimeoa mke wa pili!
Duhhh! Hata Nyerere alikuwa akivuta umma mkubwa sana watu, lakini ikifikia kwenye utendaji ni ZERO.

Omugabo hii chikokoooooo!Mwanasiasa gani Tanzania anayeweza kuvutia umati mkubwa namna hii bila watu hao kuhongwa? Mimi nakumbuka nilikuwa Jamhuri stadium Dodoma mwaka 1989 au 1990 Nyerere akiagwa alipoamua kuachia uenyekiti wa chama na wakati alipohutubia baada ya Madiba kutoka gerezani. Sijaona nyingine tena kama hii.