Mara nyingine maisha ya ndoa ni Vita. Huyu jamaa sijui nimfanyeje?

Dah JF kuna watu bado wana mambo ya kitoto sana.
Kiafrika afrika ni 0.0001 ℅ ya mwanamke (tena mke wa mtu ndoani miaka 9!!!) kukubali kumkopesha mwanaume pesa yote hiyo kimya kimya bila hata kumshirikisha mumewe halali kbs wa ndoa. Kama bado hajat*mbwa basi muda si mrefu anaenda kutiwa na huyo jamaa yake.
 
Hapo kuna kizungumkuti kama wanaheshimiana ni kwanini alimwambia aende lodge!? Pengine walikuwa wapenzi na pesa walipeana kiroho safi! Pengine mmoja kazingua wameamua kukomeshana wanawake wana ndimi mbili inakubidi utafute ukweli pande zote mbili.
Inawezekana hata kukopeshana pia waikopeshania lodge.
 
Mkuu fanya mambo yako ila mshukuru mkeo kwa kukupa taarifa,ila usifaatilie hio issue maana unaweza kuaibika na ukajuta,maana jamaa wakati anapokea au anaomba mkopo wewe hukuwepo pia jamaa anaweza amua kukataa tu kuwa hakukopa fedha maana hakuna ushahidi,na mwisho akakwambia alikuwa mpenzi wake toka shule na alimwaidi kumpa msaada ila sio deni sijui utafanya nini?kuwa makini sana na hawa viumbe,
Ushauri changanya na zako,kila la kheri
 
Mkuu fanya mambo yako ila mshukuru mkeo kwa kukupa taarifa,ila usifaatilie hio issue maana unaweza kuaibika na ukajuta,maana jamaa wakati anapokea au anaomba mkopo wewe hukuwepo pia jamaa anaweza amua kukataa tu kuwa hakukopa fedha maana hakuna ushahidi,na mwisho akakwambia alikuwa mpenzi wake toka shule na alimwaidi kumpa msaada ila sio deni sijui utafanya nini?kuwa makini sana na hawa viumbe,
Ushauri changanya na zako,kila la kheri
Work done mkuu.
 
Usifatilie hiyo pesa yao wala usimsaidie kudai. Huo ni uzwazwa. Ni tabia mbovu sana ya wanawake kufanya deal kimya kimya wakishaharibu ndio wanarudi kuomba msaada. Kisa tu ile kujiona anatumia hela zake mwenyewe.

Kuna 1 alinunua kiwanja, kiwanja kina mgogoro na kesi imefika mahakamani ndio anamwambia mumewe.

Basi ujue kuna siku mkeo atafanya jambo kubwa zaidi ya hilo.

Wewe mwambie live kuwa hufuatilii ujinga wake. Ila fuatili mienendo yake. Asijekuliwa bure.
Mtoa mada mie pia nilitaka kukushauri hivi hivi
 
mhhhh,huyo jamaa anapata wapi ujasiri wakumambia wif wako(rafiki)yake apitie hiyo guest????????? ndugu fungua ubongo wa ziada.
 
Usifatilie hiyo pesa yao wala usimsaidie kudai. Huo ni uzwazwa. Ni tabia mbovu sana ya wanawake kufanya deal kimya kimya wakishaharibu ndio wanarudi kuomba msaada. Kisa tu ile kujiona anatumia hela zake mwenyewe.
Kuna 1 alinunua kiwanja, kiwanja kina mgogoro na kesi imefika mahakamani ndio anamwambia mumewe.
Basi ujue kuna siku mkeo atafanya jambo kubwa zaidi ya hilo.
Wewe mwambie live kuwa hufuatilii ujinga wake. Ila fuatili mienendo yake. Asijekuliwa bure.
Yaani kwenye ndoa kuna kiapo cha tutakuwa wote kwenye shida na raha, kama hutomsaidia inamaana hakuna umaana tena hapo wa kuwa kwenye ndoa....

Mwanaume hupaswi kukimbia matatizo hata kama ni tatizo la uzembe kwa upande wa mwanamke mwanaume unatakiwa linapo tokea tatizo unalisimamia kikamilifu....
 
Hv kwa nini mnaconclude wanawake ni cheap na hatuna misimamo dhabiti? Huu ni upuuzi (sorry not sorry) kumkopesha mtu lazima uliwe au awe mpenzi wako? Hzo ni fikra potofu sana. Wapo wanawake wanaojiheshimu na kuheshimu familia zao, dada ameonesha utu kumsaidia mfanyakazi mwenzake amekwama. Angetaka kuchepuka asingemshirikisha mumewe angetafuta namna nyingine ya ku cover hiyo loss.
Kuna haja gani usimshirikishe mumeo kabla ya kugawa hiyo hela badala yake uje umshirikishe baada ya kuwa uliyempa hela anakuzungusha? kama kweli una jiheshimu? ( Huu ndio upuuzi wa kiwango cha juu mno)!
 
Wife wangu ana restaurant hapa town.mbali na hilo wife wangu huwa sijakaa hata siku moja nikamuamini ingawa nna watoto nae wawili.
Mimi nna biashara zangu na nilimnunulia gari 2 moja ya kutumia ye ingine kwaajili ya kihoteli chake!
Kuna baadhi ya siku huwa nafika pale hotelin kwke kisha namuuliza yupo wapi ajabu anajib nipo kazini!basi mi huwa namjib nipo hapa haupo na gari zote zipo!dkk kumi nyingi namuona akiletwa na boda ikimshusha mbali huwa naamua kuondoka kwa unyonge na kusema tuu ipo siku!
Siku hiyo ikafika.
Kuna kijana huwa yupo mitaa hiyo huwa ananipita sana akiendesha gari za wife mda mwingine kapakia vitu vya sokoni!ananipita hata anisalimii nilienunua hizo gari!
Kuna siku wife tumekaa akawa kama ana jambo anataka anieleze anasita!kwa ukimya wangu na sina pupa kwenye mambo ikabidi anieleze!
Kuna jamaa amekula pale hotelini namdai laki tisa hadi leo hajalipa!
Nikamwambia nipe namba yake!akanipa.
Kesho yake nikampigia aje sehem
Akaja nilimbananisha hadi alijinyea lakini hakukubali km alishamla wife!
Niliporud nikambana wife kwmba jamaa kumbe mpo nae kimapenz leo hii mmegombana unataka akulipe pesa!
Ooohh hapana siwez kufanya hvyoo!
Lakin msema kweli na muongo huonyesha tuu....
kwa hasira nikampiga na mimba wife ili atulize nyapu chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa kutombewa mkuu...
 
Kwani 900K ni nn bwana hadi bi dash aombwe K bila 900?
We fanya hivo mpotezeeni kuhusu hiyo 900 fanyeni maisha endelea kumpenda na kumthamini mkeo pesa mtapata tu broo
 
Niko above 30 pia Nina education ya masters level. Nina experience ya utumishi ktk sekta binafsi na pia Nina experience ya utumishi wa serikalink 6 years. Kwa sasa ni mtumishi wa serikalini. Nina experience ya mahusiano yanayotea baina ya wanandoa watumishi na wanandoa wanafunzi vyuoni undergraduate and graduate level. Nimejifunza Mengi . Hizo circumcistances huwa zinatokea watu wanapokorofishan. Hii circumcistances naifananisha kama ilivyotokea wakati tupo chuoni kuna mdada alivyokuwa anachepuka alipeleka Kesi Kwa Dean of students. Mwisho wa siku aliumbuka. Jamaa alimnyanganya baadhi ya vitu Kwa huyo mwanamke . Mwananke akaripoti kwa mumewe na Dean of students. Mwisho wa siku jamaa alionyesha vithibitisho kupia simu, picha mpaka msg
Shida ya nyinyi wa wanafunzi huwa mnakuwa na mapenzi ya kwenye sinema,
Yaan mnavyoona maisha ya kwenye video ndio mnaleta kwenye uhalisia Wa kibinadamu....

Ukiendelea kufikir hvyo utaishi kwa taabu sana utakuwa mtu Wa kutokujiamini .
Kuwa na experience na wanawake sio kumjua mwanamke...
 
Wadau, the issue is solved.
Asanteni kwa ushauri.

Niliufanyia kazi ushauri wa mkuu safuher and its work with in 5 hours toka nilipo andika hapa jf.

Jf kuna washauri wazuri sana.

Na nimegundua wengine wana akili za kitoto sana.
Kuna watu they always think negative.

Jf ni platform moja nzuri sana, hata uwe na akili sana kuna ambayo unaweza kujifunza na yakasaidia.

Big up to all positive thinkers.
Umefanya vyema kuutumia ushauri huyo jamaa maana ungechukua ushauri Wa vijana wengne humu unaweza kuvunja ndoa yako kwa makosa madogo sana
 
Mkuu kama una experience na mahusiano basi nina hakika huna experience na wanawake.

Kwa mazingira hayo ya mtoa mada mimi binafsi naona kwamba mke alifanya kosa ambalo ni kawaida kufanya kwa mwanamke ambae ana miliki pesa zake mwenyewe.

Ingekuwa hizo pesa ni zao wote kampa wife wake atunze sawa.ila midhali ni za mwanamke alijiaminisha kwamba ni zake na atazilipa.

Na hiyo ndo point ambayo mimi nimeiangalia kwamba hizo pesa ni zake mwanamke sio kwamba wamechangiana.

LAU ingekuwa ni zao wote basi ningekubaliana na maelezo yako.

Ila tatizo umetanguliza degree mbele kwenye kucoment.
Hao vijana wanashida sana, yeye anafikir anavyochati na kwenye WhatsApp na wanawake wanafunzi vyuon ndio uhalisia Wa maisha ya ndoa
 
Mkuu hiyo pesa fanya kama sadaka na mkeo ukikaa kizembe atakuuzia ndani ya nyumba . Jamaa akipiga mzigo atamkurupusha amchukulie mkopo take care.
 
Shida ya nyinyi wa wanafunzi huwa mnakuwa na mapenzi ya kwenye sinema,
Yaan mnavyoona maisha ya kwenye video ndio mnaleta kwenye uhalisia Wa kibinadamu....

Ukiendelea kufikir hvyo utaishi kwa taabu sana utakuwa mtu Wa kutokujiamini .
Kuwa na experience na wanawake sio kumjua mwanamke...
Hao vijana wa chuo bhana wengi misiba wanayoipata wanajitakia wenyewe.

Yani wanashare experience za chuo na sisi wa uraiani.

Wanataka maisha ya chuo waya apply katika jamii ambayo watu wanaishi kwa ustaarabu.

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom