- Thread starter
- #21
mkuu Arusha TFA badizzo ipo, ... unahitaji hichi kifaa ili mabeberu yanone
actually you have a very good idea. ., biashara hii ya utalii wa ndani (domestic/local tourism) imesahaulika kabisa
keep it up mkuu
Asante mkuu.
mkuu Arusha TFA badizzo ipo, ... unahitaji hichi kifaa ili mabeberu yanone
actually you have a very good idea. ., biashara hii ya utalii wa ndani (domestic/local tourism) imesahaulika kabisa
keep it up mkuu
<br />Yes,<br />
<br />
Unajua kuna kundi kubwa la jamii linakosa huduma kama hizi, hivi Maaskofu/walokole/mashehe hawapendi nyama choma? au hawapendi kuogelea ktk swimming pools, sasa kama wanataka/penda wapi wanapata huduma hizi? For sure, mchemsho wanapenda, ngoja niwajengee sehemu mwafaka kwao.
Hapa nina maanisha,ni kwa ajili ya hawa wa honey moon,sio wale wa short time. Wakati mwingine unaweza kwenda nje ya nyumbani kwako na mamsap wako na mkalala huko huko.
Hi
Jijini Dsm kuna upungufu mkubwa wa sehemu nzuri za kupumzikia familia ( yaani mahali ambapo wewe na familia yako unaweza kwenda bila kigugumizi),mahali ambapo unaweza kuyaona mazingira yenye heshima ya Kiafrika. Naamini familia nyingi zingependa kwenda mahali ambapo ni free fro alcohol, free from uzinzi,free from kiti moto, bali kuna juice ya matunda,ugali wa dona,kuku wa kienyeji,maziwa ya mbuzi,muziki laini kwa sauti ya chini kabisa.
Bustani itakuwa na vyumba vizuri kwa bei nzuri ambayo MKESHA HOI/LAT/KAKA KIIZA wa JF anaweza kumudu bila maumivu na akatamani kurudi tena.Bustani itakuwa na mboga za majani kama mnafu na nyinginezo. Michezo ya watoto wetu itawekwa.
Nahitaji michango ya huduma gani zaidi ziwepo ili kupafanya pawe bora zaidi. Eneo lipo,linafikika kwa daladala,lina maji na ni kubwa kama eka kumi. Hili eneo sitaki kuliharibu, nataka libaki na uasili wake kwa kuitunza miti niliyo ikuta pamoja na nyasi zake. Nitaongeza miti ya matunda tu.
Kitamaduni zaidi.. watakuwepo wali wa kuyarudi magoma? kwa sababu unafuga.... weka mbio za bata na mbuzi.. mara moja alika bendi ka Inafrika au Banana..!!duh itakuwa ni fursa kujionea vitu kama ngoma za unyago
Mkuu Galawani inabidi pafure miti ya matunda na yaupepo mtulivu Big up mkuu tunakuombea mafanikio mema mungu akujaalie ufanikiwe adhma yako
Mkuu Malila,nakuunga mkono mia mia..tengeneza zaid kiasil kama samak samak pale mliman city,thn chakula cha kiasili kama Ugali wa Bada,Mlenda,Kuku choma wa kienyej,Kande ivo vitu hatujala siku nyingi then najua c wabongo tu watakaotia miguu hata rangi nyeupe kama kawa.
Ila kiinglio kiwakumbuke walalahoi wa TZ.,bei za chakula nazo zisiwe za juu sana zikatufanya tuje mara1 kwa mwaka. Kila la kheri mkuu.
Ongea na Manispaa ya Kinondoni;
1.kuna eneo lipo pale Magomeni karibu na Kanisa la KKKT Magomeni mviringo lipo wazi Mateja wanalitumia kuvutia Bange... hilo ni la kwanza...
2.Kuna eneo lipo Oysterbay jirani na Oysterbay Primary limezungukwa na Barabara ya Zambia
3.Kuna eneo lipo Oysterbay barabara ya Toure inapokutana na Kenyata
4.Kuna eneo lipo zilipokuwa Quater za posta na Simu Sam Nujoma Road... etc... Mifano michache kwa wilaya ya Kinondoni...
Kitamaduni zaidi.. watakuwepo wali wa kuyarudi magoma? kwa sababu unafuga.... weka mbio za bata na mbuzi.. mara moja alika bendi ka Inafrika au Banana..!!
Kaka Malila weeeeeee... unatunyanyapaa wadau wa pweza na ngisi kaka.. hapo weka Ka-Mpesa ili bosi zang Babalao/New mzalendo/LAT wapunguze salio wakuungushie wewe.....
Ila kwa sera nahisi ka KakaKiiza atakubwaga...legeza masharti..!!!
Shida ni kwamba wafanyabiashara wanaona kwamba hiyo inawanyima turnover ya haraka.
Kasopa,
Ninalenga pale Galawani kabisa,Mungu anijalie afya na heri nitimize, kwa sababu unapafahamu,naamini panafaa kwa shghuli hii.