Duh! Preta nilikuwa Karatu week iliyopita aisee niumekubali huko kweli kuna makamanda wa CDM, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika huko ila nimekubali. My stay at Kudu lodge na ktk campsite ya panorama was enjoyable!! Big up wana Karatu!
mapokezi lini jamani,tarehe ngapi?
mpaka leo nashangaa kwa nini hatujakutana....hivi ni kwa nini....?
mary nagu anaingiaje hapa jamani?
kweli mkuu ulienjoy....hayo maeneo si ya kipolepole.......karibu tena....
vijana nawapongeza kwani kikubwa cha 1 walichofanya ni kubring awareness,,2.kama mbunge ni wa cdm haina tabu waendelee 3.imekuuma nini wakati hata shamba la viaz huna ambalo ungesema wameacha mbuzi wakaja kulishambulia??? 4.kwanini usiwalaani wale vijana wa ccm vyuo vikuu walokurupuka eti wanaandamana kusapoti maamuzi ya nec wakati baba yao alishasema siasa vyuoni baas...5.unasumbuliwa na nn haswa?? 6.uikome cdm kwani mimi naamini yeyote anaeipinga ama kuifisadi au kupunguza nguvu ya cdm ni adui wangu no 1......pepo wa kisiasa weeeeeendugu zangu niwauliza ninyi vijana wa chadema karatu, mliokomaa kisiasa mnafanya maandalizi ya maandamano ya kumpokea mbunge wa viti maalum mhe. Cecilia d. Paresso hasa kwa kitu gani?
1. Wabunge wa viti maalum wapo sehemu nyingine hilo limefsnyika?
2. Mnafanya maandamano hasa kwa kipi alichofanya?
Kwangu mimi hainiingii akilini naomba mnisaidie. Ngonja niombe msaada wa makamanda wengine wa nje ya karatu. Makamanda mnisaidie

Ndugu zangu niwauliza ninyi Vijana wa Chadema Karatu, mliokomaa kisiasa mnafanya maandalizi ya maandamano ya kumpokea Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Cecilia D. Paresso hasa kwa kitu gani?
1. Wabunge wa Viti maalum wapo sehemu nyingine hilo limefsnyika?

kwangu mimi hainiingii akilini naomba mnisaidie. Ngonja niombe msaada wa Makamanda wengine wa Nje ya Karatu. Makamanda mnisaidie