Mapokezi ya mbunge wa viti maalum Karatu

Duh! Preta nilikuwa Karatu week iliyopita aisee niumekubali huko kweli kuna makamanda wa CDM, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika huko ila nimekubali. My stay at Kudu lodge na ktk campsite ya panorama was enjoyable!! Big up wana Karatu!

kweli mkuu ulienjoy....hayo maeneo si ya kipolepole.......karibu tena....
 
mary nagu anaingiaje hapa jamani?

Mary Nagu Na karatu? Sijawapata kabisa, nimebaki nashangaa. Ninachojua Rose Kamili ndo alimtoa jasho Nagu. Huyu hata hakugombea. Anyway labda mi mshamba kidogo.

Nashangaa hao wanaoandamana wakati mtu kamrithi the late, anyway.....
 
ndugu zangu niwauliza ninyi vijana wa chadema karatu, mliokomaa kisiasa mnafanya maandalizi ya maandamano ya kumpokea mbunge wa viti maalum mhe. Cecilia d. Paresso hasa kwa kitu gani?
1. Wabunge wa viti maalum wapo sehemu nyingine hilo limefsnyika?
2. Mnafanya maandamano hasa kwa kipi alichofanya?
Kwangu mimi hainiingii akilini naomba mnisaidie. Ngonja niombe msaada wa makamanda wengine wa nje ya karatu. Makamanda mnisaidie
vijana nawapongeza kwani kikubwa cha 1 walichofanya ni kubring awareness,,2.kama mbunge ni wa cdm haina tabu waendelee 3.imekuuma nini wakati hata shamba la viaz huna ambalo ungesema wameacha mbuzi wakaja kulishambulia??? 4.kwanini usiwalaani wale vijana wa ccm vyuo vikuu walokurupuka eti wanaandamana kusapoti maamuzi ya nec wakati baba yao alishasema siasa vyuoni baas...5.unasumbuliwa na nn haswa?? 6.uikome cdm kwani mimi naamini yeyote anaeipinga ama kuifisadi au kupunguza nguvu ya cdm ni adui wangu no 1......pepo wa kisiasa weeeeee
 
Inasikitisha kama mtu mzima anaweza akauliza swali kama hili. Hivi mtu akipata neema si lazima watu wafurahi na washangilie? Sasa huyu dada yetu kuna shida gani kumpokea? Yaani kwa chadema ni kama wazazi ambao wamepata mtoto lazima wafanye sherehe. Huyu jamaa muuliza swali aidha anataka kuteka akili za watu au nae ni pungwani.

Chadema hicho ni kifaa kingine sisi tunamfahamu sana huyo dada kwenye vikao vya kamati za kudumu za halmashauri ni noma. Anajua kujenga hoja. Kwani hata bungeni wiki hizi mbili si wadau mliona michango yake? Hapa hajakaa hata long time just two weeks.

Bravo Cecy, keep on touching the hearts of the people.
 
Ndugu zangu niwauliza ninyi Vijana wa Chadema Karatu, mliokomaa kisiasa mnafanya maandalizi ya maandamano ya kumpokea Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Cecilia D. Paresso hasa kwa kitu gani?
1. Wabunge wa Viti maalum wapo sehemu nyingine hilo limefsnyika?
2. Mnafanya maandamano hasa kwa kipi alichofanya?
kwangu mimi hainiingii akilini naomba mnisaidie. Ngonja niombe msaada wa Makamanda wengine wa Nje ya Karatu. Makamanda mnisaidie

Utakuwa MAGAMBA WEWE? hakuna kiongozi mwenye mvuto kwa magamba ndo maana unaona wivu ee?
 
Ndugu zangu niwauliza ninyi Vijana wa Chadema Karatu, mliokomaa kisiasa mnafanya maandalizi ya maandamano ya kumpokea Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Cecilia D. Paresso hasa kwa kitu gani?
1. Wabunge wa Viti maalum wapo sehemu nyingine hilo limefsnyika?
2. Mnafanya maandamano hasa kwa kipi alichofanya?
kwangu mimi hainiingii akilini naomba mnisaidie. Ngonja niombe msaada wa Makamanda wengine wa Nje ya Karatu. Makamanda mnisaidie

Wasugua visigino hao. Hawana la kufanya!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom