Mapito

super thinker

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
370
109
Some love relationships may just be experiences for us to handle the future certainly and with great wisdom, usilalamike saaana unapoachwa, coz labda it was just kukupa uzoefu, take on life but now with a gained experience!!
 
true... but the one million dollar question is: do you prefer a 'fresh and naive' or an 'experienced' lover...
 
Nakubaliana na wewe, mwisho wa jambo fulani zuri ni mwanzo wa jambo fulani zuri zaidi.
 
Kama unaachwa kila siku je, hata uzoefu ulokuwa au ulioupata hauwezi kukusaidia kumthibiti atakayekuja.
 
Inategemea na kuachwa kwenyewe wengine si wapita njia tu,hivyo huwezi kupata kitu
 
Some love relationships may just be experiences for us to handle the future certainly and with great wisdom, usilalamike saaana unapoachwa, coz labda it was just kukupa uzoefu, take on life but now with a gained experience!!

kabla cjasoma comment za wengne. naomba nikushukuru kunikumbusha. hii ndo formula yangu katika maisha...
 
Lakini ni nani aliye tayari kutumika kama maabara ya kufanyiwa majaribio?

Hakuna mtu anaependa kuwa uwanja wa majaribio,ila cha umuhimu na cha kuzingatia ni kujua kusoma alama za nyakati..
 
Back
Top Bottom