Mapishi ya mtori...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,111
115,903
Kuna restaurant nimeingia nikaona wameandika kuna mtori ... dah... Ile kuagiza mtori si ndo nikagundua wana saga na blender ndizi zilizochemshwa wanachanganya na nyama ndo wanasema mtori ... nikashangaa Sana....mtori nilio Zoea ndizi zinachemshwa na nyama Hadi zinasagika zenyewe na haziwezi kuwa uji kabisa kama WA kusaga na blender....nahisi mtori Una makabila yake ...sio kila mtu anaweza pika mtori...

Wachaga na wahaya ndo wanajua kupika mtori...

Hebu wajuzi waweke tips hapa za upikaji mtori..
 
Kuna restaurant nimeingia nikaona wameandika kuna mtori ...dah...Ile kuagiza mtori si ndo nikagundua wana saga na blender ndizi zilizochemshwa wanachanganya na nyama ndo wanasema mtori ... nikashangaa Sana....mtori nilio Zoea ndizi zinachemshwa na nyama Hadi zinasagika zenyewe na haziwezi kuwa uji kabisa kama WA kusaga na blender....nahisi mtori Una makabila yake ...sio kila mtu anaweza pika mtori...

Wachaga na wahaya ndo wanajua kupika mtori...

Hebu wajuzi waweke tips hapa za upikqji mtori..
The boss usikariri maisha..
kwani mwanao akianza kula mtori ambao ndizi zipo blended akiwa mkubwa akaja kula mtori wa asili kabisa atasema ule wa asili hawajui kupika ndizi hazijasagwa vizuri..

nyakati na mazingira yanatubadilishia utamaduni wetu kila siku..
 
Mbona kwa wengine inasemekana mtoto asiblendiwe sana chakula chake?? Ukimzoesha kublend siku ukiponda ponda si katagoma kula?
 
Kuna restaurant nimeingia nikaona wameandika kuna mtori ...dah...Ile kuagiza mtori si ndo nikagundua wana saga na blender ndizi zilizochemshwa wanachanganya na nyama ndo wanasema mtori ... nikashangaa Sana....mtori nilio Zoea ndizi zinachemshwa na nyama Hadi zinasagika zenyewe na haziwezi kuwa uji kabisa kama WA kusaga na blender....nahisi mtori Una makabila yake ...sio kila mtu anaweza pika mtori...

Wachaga na wahaya ndo wanajua kupika mtori...

Hebu wajuzi waweke tips hapa za upikqji mtori..
Naukubali sana mtori… sipati picha nikija kwenu uchagani nitakavyokuwa nakunywa kila asbh na jioni Certified Hater
Mimi mtori naoujua ni huo unakua umesagwa sasa sijui hapo kusagwa au utapondwa pondwa na nini, ila kinachokuja mezani ni chakula kinakua kama uji kabisaaa.... Hat mimi nilipokuj kwnu huko nilishangaa naona mtori ndizi kama ndizi, viazi, na nyama vyote kama vilivyo ....
 
😂😂😂 unapekeshwa mpk unalainika.. ukiblend inakuwa too smooth
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom