mapenzi

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Jamaa mmoja alikata tiketi ya bahati nasibu na akawa anasubiri siku ya mchezo ifike ili ajue kama atapata milioni mia. Mkewe akamuuliza.

"Mume wangu utaendelea kunipenda hivi hata kama utashinda milioni mia?"

"Bila shaka mke wangu, nitaendelea kukupenda japo nitakumisi"
 
maan yake atamuacha ndio maana kajibiwa japo ntakumiss..
lol heheheheh ishakula kwake huyo..
 
Back
Top Bottom