Mapenzi yanauma sana kuachwa na uliyempenda kwa dhati

Kraftwerk

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
227
322
I hope wote wazima wana JF,

Twende moja kwa moja kwenya mada yetu ya leo. Kama hujawah kuumizwa kwenye mapenzi ndugu yangu yaskie tu kwa mwenzako usije kuomba yakukute. Kuachwa na mtu uliempenda kwa dhati maumivu yake hayaelezek sikuwah kufikiria nitakuja kuumia kias hiki.

Nina visa viwili kimoja kilinitokea na kengn kushuhudia. Miaka ya nyuma kidogo niliwah kuwa na mdada flan ambae sikufikiria kama nitakuja kumpenda sana na zaid ya sana. Tulidumu kwenye mahusiano for 4 years also alinipenda sana ila i thnk nilimpenda zaid na alijua hilo niliplan awe mke wangu wa ndoa. Ndugu yangu mwanamke akijua unampemda utakuja kujuta NAKAZIA.

Mpka leo najutia kuachana na huyu mwanamke imepita miaka miwili but still namkumbuka sijui uko wap natamn urud maishn mwangu but najua haiwezkn tena kurudi kwangu imebaki story. Ndugu zangu kuna wanawake wanamsimamo akiamua kukuacha hat kama alikupenda she’s okay na hatokuja kukutafuta kamwe.

Sababu ya kuachwa ni kuwa na mahusiano na mwanamke mwengn alipokuja kukugundua tuligombana sna mwanaume nikajiona niko juu zaid yake nikaropoka AM DONE! Nikaondoka sikuongea nae for one week after all of that ilibidi nijishushe na kuongea nae na kuomba msamaha nilikiri kwel nilikucheat but naomba unisameh sitokuja kurudia tena and I promise you. Alinijibu AM DONE WITH YOU and she’s seriously nildhn masihara nikasema wait niache kuongea nae for while atanitafuta tu.

Wazee hakunitafuta tena After many days nilijarb kuendelea kuomba msamaha ilishindikana but ukimtafuta kumjulia hali she’s okay n mna ongea vzr tu ila mapenz kama awali hayap tena. Maisha yakaendele na kuendelea kuumia moyon mwangu siku moja nimetoka job nikasem nipitie sehm nipate juice and bites.

Nikamuona mwanmk alieteka hisia zangu na mwana wanakula dinner and she’s so happy. Sikuwah kuumia kama siku hiyo. Wazee sikula siku tatu na kutoingiza chochote tumbon mwangu na kutohs njaa kbs mwanaume ety nimetoka machozi kwa ajili yake. Btw niamua kuacha kuongea nae rasmi mpka leo hii na nilivunja lain zote.

Kisa kengine nilishuhudia mwana kalala kwenye mtaro wenye maji machafu natabsm usoni yote yamesababishwa na kuachwa. Poleni wanangu wote tulioachwa na watu tuliowapenda kikubwa tusiache kula kisa mapenzi.

KAMA UMEWAHI KUACHWA NA MWANAMKE/ MWANAUME ULIEMPENDA KWA DHATI ILIKUAJE KWA UPANDE WAKO?
 
Back
Top Bottom