tinno criss
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 112
- 56
Rose: Pouwa Wangu, Usku Mwema,
Tinnon: Nawepia,, Byeeeeeeeee!!!!
UNALALA KAMA NUSU SAA, Kwakua Unampenda Sana unaamka, Kisha unaingia kuangalia SMS ulizochat na rose, unaona bado rose yupo online,,, ahahaaaa!,
Kua na mpenzi ambaye anatumia whatsapp lazma uwe na MOYO MASHINE ili usteseke,