Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
- Thread starter
- #61
raha ya mwanaume ni kutoa bana mimi ndivo nilivoumbwa ...napenda mtu anaenipa vijihela vya saluni vishopping vidogodogo nk ...hata kama ninayo anipe tu ...ndo naamini ananipendakwa staili hii, hata mkiwezeshwa kwa asilimia 1000 bado mwanaume atakuwa kichwa tu. hivi nani alianzisha huu utaratibu wa mwanamke kutumia vitu/mali za mwanaume ili kunogesha mahusiano? sio unyonyaji huu na kuwapumbaza wanawake? shtukeni, sio lazima kupewa na mwenzi wako, hata wewe chakalika umpe, ukifanya hivyo mtaishi maisha marefu