Caren
JF-Expert Member
- Feb 12, 2010
- 278
- 91
mmmhh, una mambo we caren, hivi we ni she au he?
I am a proud she dada carmel!! But i have no sides when a woman goes astray i shout with the same zeal as when a man goes astray.
mmmhh, una mambo we caren, hivi we ni she au he?
hivi mfano mtu umesafiri kama miaka miwili hivi halafu ukarudi kwa mpenzi wako(long distance lover) na ulikuwa unakula ng'adu kwa ng'adu je inabidi utumie pembejeo (mpira) au unaendelea kujilipua?
ni she huyo ila alivyo mtaalamu wa kujua hayo mambo mpk amenitishammmhh, una mambo we caren, hivi we ni she au he?
hamna raha yoyote hapoJamani mapenzi ya mbali yana raha san mkikutana mnakuwa wapya ila angaza kwanza ni muhimu vinginevyooooo.....
inaumiza lakini uvumilivu ni muhimu katika hili vinginevyo utafanya show hadi watu watakuchoka.long distance relationship kama wazungu wanavyoita hamna tofauti na mtu aliye single, so painful if u real in love,usiombe yakukute ndugu yangu,kwa wale wa wanaoishi bongo campan ni kubwa ya marafiki na ndugu, ila ulaya,unaweza kuwa kichaa.very very lonely ukichanganya na ugumu wa maisha ndio usiseme