mapenzi ya mbali

22nd

JF-Expert Member
Aug 1, 2010
495
137
long distance relationship kama wazungu wanavyoita hamna tofauti na mtu aliye single, so painful if u real in love,usiombe yakukute ndugu yangu,kwa wale wa wanaoishi bongo campan ni kubwa ya marafiki na ndugu, ila ulaya,unaweza kuwa kichaa.very very lonely ukichanganya na ugumu wa maisha ndio usiseme
 
Pole, kama uko ulaya si ujichanganye na waafrica, ila usipokuwa makini utaangukia mikononi mwa wa Nigeria, wagana, au wa Cameroon,
 
hiyo mutu inayoitwa nigerian achanao nao kabisa, sio hata wa kuwa discuss hapa jf
 
Mzuwanda..!

Long distance relationship ni sawa na 0% relationship ... haisaidii kabisa?
 
long distance relationship kama wazungu wanavyoita hamna tofauti na mtu aliye single, so painful if u real in love,usiombe yakukute ndugu yangu,kwa wale wa wanaoishi bongo campan ni kubwa ya marafiki na ndugu, ila ulaya,unaweza kuwa kichaa.very very lonely ukichanganya na ugumu wa maisha ndio usiseme

uwiiii bora wewe umesema mimi nilitaka kuweuka kabisa, sitaki kusikia hii kitu tena
 
Iyo mapenzi ya masafa marefu ni adhabu tu, yanaweza kudumu kwa muda mfupi, sio zaidi ya mwaka baada ya hapo tena kwa kweli yanafifia na vishawishi vya kudanganya vinachukua nafasi, hata hivyo kuna mambo mawili matatu yanayoweza angalau kuyapa uhai hayo mapenzi:
1. Keep yourself busy itapunguza distraction.
2. Mawasiliano muhimu, mpatie mpenzio Bongo laptop na broadband connection ili muwe mna video link kila siku kwa Skype nk, ni nafuu kuliko kutumia cheap calling cards na munapoonana uso kwa uso mtandaoni inasaidia sababu asiekuwepo machoni na moyoni hayupo.
3. Jaribu ku-socialize kusukuma siku na kupunguza stress ila chunga sana na social scenes za kibongo, zitakuchochea kumtosa mwenzio kule bongo.
 
mnh pole..
tafuta wa 'kukupunguzia stress' hapo ulipo..:becky::A S 8:
huyo wa bongo ni sawa na hayupo
akikamatwa na wajanja imekula kwako...
 
uwiiii bora wewe umesema mimi nilitaka kuweuka kabisa, sitaki kusikia hii kitu tena

heri wewe umesema ndugu yangu....halafu hizi ajira za kupewa cheo na uhamisho bila kujali una familia zina tesa sana....imagine mume yupo kigoma mke yupo tunduru....tutapona kweli?kuonana june na december.....du!
 
hamna kitu hapo...!!! baba zetu walinususru ndoa zao kwani kila walipohamia... mke atatfutiwa nafasi ya kazi huko alikoenda mumewe...alimradi kila siku jioni baba,mama, na watoto wanakula pamoja... siku hizi ajira imewekwa mbele kuliko familia!!..:mad2:
 
Iyo mapenzi ya masafa marefu ni adhabu tu, yanaweza kudumu kwa muda mfupi, sio zaidi ya mwaka baada ya hapo tena kwa kweli yanafifia na vishawishi vya kudanganya vinachukua nafasi, hata hivyo kuna mambo mawili matatu yanayoweza angalau kuyapa uhai hayo mapenzi:
1. Keep yourself busy itapunguza distraction.
2. Mawasiliano muhimu, mpatie mpenzio Bongo laptop na broadband connection ili muwe mna video link kila siku kwa Skype nk, ni nafuu kuliko kutumia cheap calling cards na munapoonana uso kwa uso mtandaoni inasaidia sababu asiekuwepo usoni na machoni hayupo.
3. Jaribu ku-socialize kusukuma siku na kupunguza stress ila chunga sana na social scenes za kibongo, zitakuchochea kumtosa mwenzio kule bongo.
hakuna sabstitute ya kuchinja kobe kama unahitaji lazima upate hata ukiwekewa video conference cha muhimu ni kusuguana tu ni sawa na usingizi hauna dawa umesikia wapi mtu anasikia usingizi au njaa halafu anacheza mpira ili usingizi au njaa itoke hiyo ndio sawa sawa na ngono

long distance relationship ni kuzinguana tu
 
heri wewe umesema ndugu yangu....halafu hizi ajira za kupewa cheo na uhamisho bila kujali una familia zina tesa sana....imagine mume yupo kigoma mke yupo tunduru....tutapona kweli?kuonana june na december.....du!

ww umenigusa mno,acha kabisa hii kitu hamu sina kabisaaa
sijui kwanini waajiri tunashindwa lifikiria hili,na familia zinateteleka sana
hii ipo both kwa mwanamme/mwanamke,,,
 
penye nia pana njia ........kaza buti.

katika upande mwengine wa coin ............long distance relationship ina raha yake hasa kama mnauwezo wa kukutana kila baada ya miezi miwili au mitatu.....kila mkikutana mko kwenye honeymoon!
 
Back
Top Bottom