Mapenzi ya dhati, yaa mahabat!!

kajoli.com

Member
Mar 4, 2012
42
5
Mapenzi asili yake ni upendo,
kupenda sio dhambi hata rais anajua kupenda, Tunapopendana Mungu anatupenda zaidi
lakini wengi tunaharibu upendo kwa kukosa umakini. Upendo unatakiwa kubaki upendo kuanzia mwanzo hadi mwisho sanasana ukibadilika ubaki kuwa furaha.
Wengi tumekwama kwani mwisho wa upendo wetu ni vilio,dhambi,magonjwa nk
Upendo husaidia, upendo hujenga mahusiano,upendo hujenga udugu nk
"kama unanipenda utanilinda" Watu wengi tumedhani kuuonyesha upendo kwa wapenzi wetu ni kufanya ngono
Tena ngono zembe kisa tukijilinda tuonana kama hatuaminiani. mh!! ujinga tu!!
Mapenzi ya dhati huleta matokeo yenye kuleta matumaini. Nashindwa kuchambua kwa kina kwani
wengi wetu ni wavivu wa kusoma. Na tukiona mada ndefu tunakimbia. lakini hebu nikuombe unapotaka
kuonyesha upendo kwa yeyote hebu fikiria, Je!:thinking: ni mapenzi ya kweli? au tamaa!?
 
'wengi wetu humu ni wavivu wa kusoma'

kweli? Kama unajua hivyo kwa nini umeandika ndefu?
 
'wengi wetu humu ni wavivu wa kusoma'

kweli? Kama unajua hivyo kwa nini umeandika ndefu?
nashukuru kwa kumweleza hilo...kwenye hotuba tu watu wanasinzia tena zile za kusomewa sembuse ya kusoma mwnyw!we vp:A S-frusty2:
 
Thanx all, nimepokea changamoto zenu. na kwa wale mnaotamani kufahamu kwa kina kuhusiana na mapenzi bin mahabat nitafanya hivyo leo.Lakini niwajibu wanaofikiri bila majibu "kupenda na kutamani nini kinaanza" Hapa inategemea upendo huo ni kumuhusu nani!? kwa sababu yawezekana unampenda sana baba au mama yako, hapa huwezi kusema kabla ya kuwapenda uliwatamani. lah! Kwa habari ya kumpenda me au ke, yapo mambo mawili. Unaweza ukapenda direct tena upendo usio na sababu . Lakini ukipenda ili upate kitu fulani, hiyo ni tamaaa
 
Back
Top Bottom