Mapenzi nikupeana furaha

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
645
Hakuna ubishi kwamba maisha ukiyapangilia ni mazuri sana,yatakupa amani na kwa ujumla utatamani uendelee kuishi milele,lakini usipkuwa makini utaishia kujuta.Uamuzi wako ndiyo unaotengeneza hatima ya maisha yako,je unavyoamua ni sahihi?kila mtu analo jibu.Ikiwa tayari uko kwenye uhusiano na unamkubali mwingine kwasababu zozote zile,ni dalili kuwa akili yako imekufa.


Katika maisha kuna watu wamekuwa wakilia kwa raha,wengine kwa tabu wengine wamekuwa wakicheka bila hata kuchekeshwa mara nyingi ni kwasababu wanatiwa raha.


Je!mara ya mwisho kufurahi au kukaa na mwenzi wako na mkafurahi ni lini???
 
Yaaani,roho inauuumaaaa.
sikumbuki ilikuwa lini mara ya mwisho,umenikumbusha kuwa mi mpweke.
 
duh kwa kweli ni muda mrefu sijafurahia wala kupata furaha zaidi ya ghadhabu
 
hao walioingiziwa watujali basi maaana date hizi sijui lol, choka mbaya,BACK TU ZE TOPIKI: sina mwenza wala sikumbuki maana hata alivyokuwepo hatukuwahi kukaa na kama tulikaa bas ilikuwa vurugu na mashtaka ya sms na call, mara friends in FB mara nani , wapi, kwanini duh sina cha kukumbuka aisee
 
mi ilikuwa kitambo kidogo nadhani mwisho wa kupata hzo raha ni mwaka 2009 ila kwasasa ni karaha 2 mpaka naanza kukata tamaa
 
kila siku,kila saa,na kila sekunde mimi na mpenzi wangu tunafurahiana...sikumbuki ni lini nilikosa kuwa na furaha kwenye mapenzi!
 
kila siku,kila saa,na kila sekunde mimi na mpenzi wangu tunafurahiana...sikumbuki ni lini nilikosa kuwa na furaha kwenye mapenzi!

Kama ni mumeo mmeoana kwa muda gani?
These and many more questions could give us a clue of what you said......
 
Kama ni mumeo mmeoana kwa muda gani?
These and many more questions could give us a clue of what you said......

Tuna five yrs,ups and down zipo lkn tunazimaliza instantly,furaha inaendelea kuchukua nafasi yake
 
Back
Top Bottom