Furaha na huzuni katika mapenzi

Bongo Trust

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
252
241
Neno mapenzi si geni masikioni mwa mtu mzima mwenye akili na utambuzi.

Licha ya umaarufu wa neno hilo lakini hakuna hata mmoja ambaye ameweza kutoa tafsiri sahihi ya neno hilo ambayo itakubaliwa na kila mmoja.

Kuna mda mapenzi ni furaha na mda mwingine ni huzuni, kuna mda ni kilio mda mwingine ni kicheko, kuna mda ni sababu ya kifo kuna mda ni sababu ya kuendelea kuishi nk. Kwahiyo ili kuelezea mapenzi ni nini itategemea anaezungumza anayatazama kutokea upande upi.

KUNA AINA TATU ZA MAHUSIANO YA MAPENZI
1.Watu wanao Pendana (both side love)
2.Watu wasio pendana a.k.a bora liende kikubwa uhai (acting love).
3.Mtu mmoja kumpenda mwingine na yule anayependwa hampendi mwenzie. (one side love).

Katika aina hizi tatu za mahusiano ya kimapenzi kuna vitu vikuu viwili ndani yake kutegemeana na kundi walilopo wahusika vitu hivyo ni , FURAHA na HUZUNI.

FURAHA na HUZUNI zinakujaje?

🥲Hii kwenye kundi la kwanza (both side love) Furaha huwa haitabiriki kuna mda inakuwepo nyingi sana na kuna mda inapotea kabisa. Hii ni kutokana na watu hawa kutawaliwa na mdudu WIVU maana watu wanao pendana kwa dhati huwa hawawezi kukaa bila kuoneana wivu na kutokana na wivu huo basi huwa hawaishiwi vitimbwi, maneno, michambo, kejeli, vijembe na kununiana hata bila sababu za msingi mpaka mda mwingine inakuwa kero.

Kwenye kundi la pili (acting love), hapa furaha inaweza ikadumu zaidi ya makundi yote kutokana na hakuna wivu kati ya hawa watu wawili kikubwa tu wajali mipaka yao na wasifanyiane dharau za nguoni, (mara nyingi hii ni kwa wale waliamua kubebana juu kwa juu kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo kuwa na umri mkubwa bila kuwa katika mahusiano hivyo wanaamua wabebane tu wakae pamoja ili mradi ni jinsia mbili tofauti, pia kuna wengine wanajikutaga tu wanaishi pamoja kila mmoja ukimuuliza sababu ya wao kuishi pamoja hawezi kuelezea, hawa wanaenda tu ili mradi wasi zeeke bila kuonja ladha ya maisha ya unyumba). Pia kwa upande mwingine katika kundi hili furaha inaweza isiwepo kabisa katika kundi hili maana, watu hawa hawana mapenzi ndani yao hivyo ikapelekea kuzaliwa chuki isiyo isha kati yao haswa wale walio fikia hali hii kutokana na (kuchokana, kufumaniana, kulazimishwa kuoana nk)

Kwenye kundi la tatu. Kwa kiasi kikubwa sana hapa mtu anaye mpenda mwenzie ndio huwa anakuwa na huzuni kuliko yule anayependwa na anaye pendwa huwa anakuwa na furaha kuliko yule mpendaji. Hii inatokana na kuwa yule mpendaji anakuwa na mdudu WIVU kwa mwenzie lakini yule mpendwaji wala hana habari kabisa na kitu inaitwa wivu. Hii pia huwafanya hawa wapendwaji kuwanyanyasa wale wawapendao maana hawahofii kuwapoteza ila yule anae penda anazidi kukomaa na manyanyaso sababu anahofia kumpoteza yule ampendae.

Kunae kundi lingine ambalo sikulitaja kwa sababu maalumu hapo juu ambalo ni kundi la (Wadangaji /Vibenteni against mashuga mumy & Sugar Daddies) pia kundi hili sita lielezea sana maana linajulikana na hapa furaha yake na huzuni yake mostly huwa inategemeana ujazo wa Pochi/waleti.

Mimi kwa binafsi yangu naona Bora kundi la tatu yaani bora nimuoe mtu anaye nipenda hata kama mimi simpendi nitaweza kuya control mapenzi hayo ki urahisi kuliko kundi la (wote tusio pendana au tunao pendana), na siwezi kuoa mtu ninaye mpenda mimi na yeye hanipendi.

Kuishi na mtu anaye kupenda yeye raha sana asikwambie mtututu .
View attachment 2261770
 
Mapenzi tena
JamiiForums-1347950702.jpg
 
You just need some, someone that's calm and patient
Submission, domination
Arched back, deep stroke
White wine, weed smoke
That's my best combination
You just need some dick with no complications
You just need some, you just need some
Late night attention, uncondition
Mule mule
 
All in all mapenzi ni kitu furqni hiv ambacho hakina kanuni mtu anaweza kukuhaidi kuwa mtapenda ila moyoni mwake kumbe haupo so mapenzi ni mtihani mkubwa maana unahusisha mtu na moyo wake anayoyasema yanatoka moyoni kwakwe kujua ni kweli au si kweli si kazi rahisi ila pia ukimpata anaekupenda kuna raha yake maana hautakuwa na wivu hata ukiachwa wewe unacheka na unabakia kusema ulichelewa but kama mtu humpend bora tu usimtese maana mwisho wa siku yule anaekupenda akichoka anaweza akakuua kutokana na vituko unavyomfanyia hakika mapenzi yanauma si mchezo hasa ukimpenda ambaye hakupendi
 
Umeandika kwa hisia sana mkuu

Nikweli uyasemayo moyo wa mtu kichaka na ukimpata wa kukupenda muheshim
 
Neno mapenzi si geni masikioni mwa mtu mzima mwenye akili na utambuzi.

Licha ya umaarufu wa neno hilo lakini hakuna hata mmoja ambaye ameweza kutoa tafsiri sahihi ya neno hilo ambayo itakubaliwa na kila mmoja.

Kuna mda mapenzi ni furaha na mda mwingine ni huzuni, kuna mda ni kilio mda mwingine ni kicheko, kuna mda ni sababu ya kifo kuna mda ni sababu ya kuendelea kuishi nk. Kwahiyo ili kuelezea mapenzi ni nini itategemea anaezungumza anayatazama kutokea upande upi.

KUNA AINA TATU ZA MAHUSIANO YA MAPENZI
1.Watu wanao Pendana (both side love)
2.Watu wasio pendana a.k.a bora liende kikubwa uhai (acting love).
3.Mtu mmoja kumpenda mwingine na yule anayependwa hampendi mwenzie. (one side love).

Katika aina hizi tatu za mahusiano ya kimapenzi kuna vitu vikuu viwili ndani yake kutegemeana na kundi walilopo wahusika vitu hivyo ni , FURAHA na HUZUNI.

FURAHA na HUZUNI zinakujaje?

🥲Hii kwenye kundi la kwanza (both side love) Furaha huwa haitabiriki kuna mda inakuwepo nyingi sana na kuna mda inapotea kabisa. Hii ni kutokana na watu hawa kutawaliwa na mdudu WIVU maana watu wanao pendana kwa dhati huwa hawawezi kukaa bila kuoneana wivu na kutokana na wivu huo basi huwa hawaishiwi vitimbwi, maneno, michambo, kejeli, vijembe na kununiana hata bila sababu za msingi mpaka mda mwingine inakuwa kero.

Kwenye kundi la pili (acting love), hapa furaha inaweza ikadumu zaidi ya makundi yote kutokana na hakuna wivu kati ya hawa watu wawili kikubwa tu wajali mipaka yao na wasifanyiane dharau za nguoni, (mara nyingi hii ni kwa wale waliamua kubebana juu kwa juu kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo kuwa na umri mkubwa bila kuwa katika mahusiano hivyo wanaamua wabebane tu wakae pamoja ili mradi ni jinsia mbili tofauti, pia kuna wengine wanajikutaga tu wanaishi pamoja kila mmoja ukimuuliza sababu ya wao kuishi pamoja hawezi kuelezea, hawa wanaenda tu ili mradi wasi zeeke bila kuonja ladha ya maisha ya unyumba). Pia kwa upande mwingine katika kundi hili furaha inaweza isiwepo kabisa katika kundi hili maana, watu hawa hawana mapenzi ndani yao hivyo ikapelekea kuzaliwa chuki isiyo isha kati yao haswa wale walio fikia hali hii kutokana na (kuchokana, kufumaniana, kulazimishwa kuoana nk)

Kwenye kundi la tatu. Kwa kiasi kikubwa sana hapa mtu anaye mpenda mwenzie ndio huwa anakuwa na huzuni kuliko yule anayependwa na anaye pendwa huwa anakuwa na furaha kuliko yule mpendaji. Hii inatokana na kuwa yule mpendaji anakuwa na mdudu WIVU kwa mwenzie lakini yule mpendwaji wala hana habari kabisa na kitu inaitwa wivu. Hii pia huwafanya hawa wapendwaji kuwanyanyasa wale wawapendao maana hawahofii kuwapoteza ila yule anae penda anazidi kukomaa na manyanyaso sababu anahofia kumpoteza yule ampendae.

Kunae kundi lingine ambalo sikulitaja kwa sababu maalumu hapo juu ambalo ni kundi la (Wadangaji /Vibenteni against mashuga mumy & Sugar Daddies) pia kundi hili sita lielezea sana maana linajulikana na hapa furaha yake na huzuni yake mostly huwa inategemeana ujazo wa Pochi/waleti.

Mimi kwa binafsi yangu naona Bora kundi la tatu yaani bora nimuoe mtu anaye nipenda hata kama mimi simpendi nitaweza kuya control mapenzi hayo ki urahisi kuliko kundi la (wote tusio pendana au tunao pendana), na siwezi kuoa mtu ninaye mpenda mimi na yeye hanipendi.

Kuishi na mtu anaye kupenda yeye raha sana asikwambie mtututu .
View attachment 2261770
TRUE STORY
 
All in all mapenzi ni kitu furqni hiv ambacho hakina kanuni mtu anaweza kukuhaidi kuwa mtapenda ila moyoni mwake kumbe haupo so mapenzi ni mtihani mkubwa maana unahusisha mtu na moyo wake anayoyasema yanatoka moyoni kwakwe kujua ni kweli au si kweli si kazi rahisi ila pia ukimpata anaekupenda kuna raha yake maana hautakuwa na wivu hata ukiachwa wewe unacheka na unabakia kusema ulichelewa but kama mtu humpend bora tu usimtese maana mwisho wa siku yule anaekupenda akichoka anaweza akakuua kutokana na vituko unavyomfanyia hakika mapenzi yanauma si mchezo hasa ukimpenda ambaye hakupendi
Mbona umeongea Kwa hisia sana mkuu Kuna usalama kweli
 
Back
Top Bottom