Mapenzi ni kitu muhimu sana.

Hilo haliwezi kutokea kamwe mama, hebu nakuomba ujaribu tu kusoma signature yangu na ukiweza kuijibu jibu zuri, itakuwa vyema kweli siku ya leo.

I m in love with............you
A%20S-heart-2.gif
A%20S-rose.gif
A%20S-heart-2.gif
WILL YOU MARRY ME PLEASE
A%20S-heart-2.gif
A%20S-rose.gif
A%20S-heart-2.gif
<!-- google_ad_section_end -->

hahahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Na hapo ndio nilipozidi kukupenda,maana kikwetu wakati mnaongea mwenzio akicheka tu basi ujue ujumbe wako umekubaliwa kwa hiyo asante sana kwa kunikubalia ombi langu, tuanze maandalizi tu sasa au unasemaje.

Msg sent and delivered,
right place, right time
 
The Following User Says Thank You to LD For This Useful Post:
Paka mweusi (Today)
Pokea na hii basi :A S-rose::A S-rose::A S-heart-2::A S-heart-2: :A S kiss::A S kiss:.

The Following User Says Thank You to Paka mweusi For This Useful Post:

LD (Today)​
 
Nadhani umeshawahi kusikia wimbo mmoja maarufu sana miaka ya nyuma, sikumbuki uliimbwa na bendi ipi ya bongo. Maneno yake ni haya, Dunia njema wawili wawili hata ndege hukaa wawili.
 
Hakika leo imekuwa siku njema kabisa katika maisha yangu,twenzetu Pm basi tukamalizie huko naona hapa watatuwekea uthiku.
 
Mkuu wala hujakosea kwa wimbo huo hata mimi naukumbuka ila bendi ndio sikumbuki,si unaona na mimi niko karibu kupata mwenza hapa......
 
PM yaweza kuwa Paka Mweusi au Private Message kwa wakati mmoja inategemea tu na vile ulivyoielewa.

haha haha Twende Paka Mweusi kuondoa kiwingu/uthiku, nshaiona kule Paka mweusi nshakujibu.
 
Hakika leo imekuwa siku njema kabisa katika maisha yangu,twenzetu Pm basi tukamalizie huko naona hapa watatuwekea uthiku.

Mkuu wala hujakosea kwa wimbo huo hata mimi naukumbuka ila bendi ndio sikumbuki,si unaona na mimi niko karibu kupata mwenza hapa......

Sema basi japo neno moja tu, nami roho yangu ipate tulia.

Umetizama inbox yako?

haha haha Twende Paka Mweusi kuondoa kiwingu/uthiku, nshaiona kule Paka mweusi nshakujibu.

Paka mweusi......Afrodenzi hajambo.......anaendeleaje?
 
O,, ooooh ukisikia fumanizi la asubuhi ndio hili sasa, ukimuona naomba unitunzie siri.....
Chukua na hizi pesa umwachie,mwambie semina tumeongezewa wiki moja hivyo nitarudi wiki ijayo
 
Waaahahahaaaa ahaaaaa ohohohooooo yahaaaaaaaa yehu enheneeeeeeee tehe tehe teh! ...........uuuuuuuuuuuuuuuuWI! Mbavu sina mie! Umembamba laivu shemejiyo akichakachua, kazi kwako sasa-utachukua hatua gani?.......uskubali yaishe kirahisi na vijisenti tu!..............:redfaces:
 
Mkuu nisaidie basi kuua soo habari hizi zisimfikie mlengwa,si unajua tena.......Mwisho nitaanza kumsingizia shetani bure.Eti Oooh Nisamehe shetani alinipitia sitorudia.
 
O,, ooooh ukisikia fumanizi la asubuhi ndio hili sasa, ukimuona naomba unitunzie siri.....
Chukua na hizi pesa umwachie,mwambie semina tumeongezewa wiki moja hivyo nitarudi wiki ijayo

Mmmmmmh, kumbe mambo yenyewe ndio hivi, basi bwana.

Ya nini malumbano, ya nini maneno?
Najiweka pembeni, kuepusha msongamano,
Bora nitulie nipate......
Mola nijalie, haya yasinirudie,

Nendaaah, nendaaah.....
Mambo uliofanya, kuyavumilia nimeshindwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom