St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,635
- 4,519
Wacheki hawa.....
Wengine hawa
Wengine hawa
Nakusubiri!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Haya nimefika mama usintoe meno tu maana nimeogopa......
Wala usiogope baba!!! najua unafikisha ujumbe kwa hadhira.
Sijui mimi ba wewe tutafananaje tu kwenye harusi yetu?
Kwani umeshanichagua mimi, wale watatu umeshawatosa???
Wale naona siwawezi bora nikuchague wewe au wewe unaonaje?
mmmmh nipe muda wa kufikiri, kuomba na kufanya maamuzi,
Haya mama chukua muda wowote unaoutaka na mimi inabidi niongeze muda wa nadhiri yangu huku,
maana nilioteshwa kuwa wangu wa milele atatoka hapahapa JF.
Eti eee, yani kesho nawahi misa ya asubuhi, afu katikati ya wiki nitaomba isomwe misa malumu kwa ajili yetu, ili tujue ni
kweli wewe ni Mume mwema kwangu na mimi ni mke mwema kwako
Hii post imefanya siku ya leo kuwa njema kabisa,naomba usome vizuri hapo nilipoweka bold na hiyo ndio maana yake bila hata ya kuongeza wala kupunguza .
tehe teheeee,
Na hapo ndio nilipozidi kukupenda,maana kikwetu wakati mnaongea mwenzio akicheka tu basi ujue ujumbe wako umekubaliwa kwa hiyo asante sana kwa kunikubalia ombi langu, tuanze maandalizi tu sasa au unasemaje.
Hata kabla hatujaomba mmmmh, inabidi tuombe kwanza bwana,
Mmmmh afu we paka mweusi, kwani we ni mweusi kama huyo paka.[/QUOTE]
Waliniambia hawanipendi labda nipake mkorogo sasa nimepaka naona nimeanza kubadilika bado miguu na mikono tu.

Afu unajua mi nmekupenda kama ninavyokuona hapa, sasa wewe umepaka mkorogo,
duh!!, kikwazo cha kwanza hicho.
Afu unajua mi nmekupenda kama ninavyokuona hapa, sasa wewe umepaka mkorogo,
duh!!, kikwazo cha kwanza hicho.
Pamoja na mkorogo bado walinikataa ikabidi niache huo mkorogo na sasa nimerudia weusi wangu.
Pamoja na mkorogo bado walinikataa ikabidi niache huo mkorogo na sasa nimerudia weusi wangu.
Waliniambia hawanipendi labda nipake mkorogo sasa nimepaka naona nimeanza kubadilika bado miguu na mikono tu.<!-- google_ad_section_end -->
Umeshaanza kunichanga PM.
Waliniambia hawanipendi labda nipake mkorogo sasa nimepaka naona nimeanza kubadilika bado miguu na mikono tu.<!-- google_ad_section_end -->
Umeshaanza kunichanga PM.
Hilo haliwezi kutokea kamwe mama, hebu nakuomba ujaribu tu kusoma signature yangu na ukiweza kuijibu jibu zuri, itakuwa vyema kweli siku ya leo.