Mapenzi bwana.....arrrrg!

Lizzy nawe bwana unani haribia weekend khaaa
we ngoja niwe bored ntakusumbua mpaka uoe rangi zote..
mmmhhhhh
have a good one..

Hehehehe...njoo tule chocolate ice cream wkend yote...hapo kila kitu kitaonekana bora zaidi ya kilivyo!!
BTW ukinisumbua ntafurahi sana ili nikose muda wa kufikiria:phone::bange:
 
"The spaces between your fingers were created so that another's could fill them in." love is complex

73913_147949505251880_115366558510175_226201_71194  10_n.jpg

167126_163179197062244_115366558510175_306528_4874  581_n.jpg

Last edited by a moderator:
Ndo yaliyotawala siku hizi mpendwa.....taka usitaki wengi ni usanii tu unawaongoza!

Lizzy ingia kwanza kwenye ndoa kwanza,
ndo waweza kuconclude kama ni usanii ama la,
ukiwa nje ni vigumu kujua,
usidanganyike sana na kila kinachotazamwa na macho yako!!!!!!!!!!!,
 
Lizzy ingia kwanza kwenye ndoa kwanza,
ndo waweza kuconclude kama ni usanii ama la,
ukiwa nje ni vigumu kujua,
usidanganyike sana na kila kinachotazamwa na macho yako!!!!!!!!!!!,

Kwahiyo wenye mahusiano yasiyo ndoa hatuna nafasi ya kujua usanii na ukweli??
Wenye ndoa wenyewe ndo hao kila siku hawaishi kuuliza kama wakumbushie na wa zamani au la!!!Mpaka hapa no thanks....bora nibaki sijui tu!
 
ndo maana nikasema kuwa,
usiamini sana kila unachokitazama,
kila unachokiona au kukisikia!!!!!!!
mwisho wa siku wewe ndo suluhisho na furaha ya maisha yako mwenyewe!!!!!!!!
 
karibu sana duniani,
nilikumis mama, naona mzimu wako umekuja,
na taste ya kutaka wazungu sasa,
wewe kweli kiboko!!!!
ile sredi kwa sasa naiogopa
wanani PM kuwa ninadhambi kuliko wanaJF wote hapo najiuliza mbona mambo kibao yamekatazwa in biblia hawayasemia dhambi ni la ni Merytina tu?
 
ndo maana nikasema kuwa,
usiamini sana kila unachokitazama,
kila unachokiona au kukisikia!!!!!!!
mwisho wa siku wewe ndo suluhisho na furaha ya maisha yako mwenyewe!!!!!!!!

Naamini nilichopitia...nacho ni usanii mtupu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom