Mapendekezo yangu: Serikali toeni msaada wa mtambo wa kusaidia watu kujiua bila maumivu na mateso

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari wakuu, maada hapa ni kwamba, Serikali iruhusu kusaidia mtambo maalumu kwa ajili ya kukatisha Uhai (kifo) kwa watu wenye uhitaji na utayari kwa sababu maalumu.

Kwa sababu zifuatazo kumekuwa na wimbi la watu kujiua kikatili vifo vya kutisha, vifo vinavyozua taharuki, vifo vyenye maumivu makali kupitiliza, Kuna vifo watu wanajichinja, Watu wanajiwasha moto, Watu wanajinyonga, Watu wanakunywa sumu ambazo huwauwa kwa kukatakata utumbo na kupelekea vifo vya mateso na maumivu makali mno kwa hiari hao,

Katika kuzingatia uhuru binafsi naamini hata haki ya kuchagua kuishi na kuchagua kutoishi ilipaswa izingatiwe, kama haki ya kuishi inatambulika ilipaswa pia haki ya kuchagua kutoishi iwepo maana vyote ni uhuru binafsi,

Hata hivyo kisheria haki ya kutoishi inatambulika sema inatambulika Inderect ndio maana inafahamika ni kosa kisheria kufanya attempt ya kujiua ila sio kusa kisheria ukishajiua, mtu akishajiua hakuna kesi inabaki kuzika tu na kusahau,
Hivyo katika hali ya kutetea haki na uhuru binafsi napendekeza mahospitalini au katika ofsi za vijiji na kata zitolewe mashine maalum za kukatisha maisha kwa wenye uhiari na sababu maalumu kama moja ya kulinda haki ya maamzi binafsi kwa wanaohitaji,
 
Acha kudeka...kifo ni kifo...nani aliekufa alafu akaleta mrejesho kuwa amekufa bila kusikia maumivu...?
 
Mkuu we tumia mbinu zetu za kienyeji mambo ya kusubiri mtambo utasubiri sana.. ndugu kuwa mzalendo na technology zetu hizi za kiafrika..
Kuna jamaa huku alijiuwa kwa kuangikia panga 🤣🤣Africa ni Africa tu
 
Taja sababu ambazo zinaeleweka mpk serikali ikuruhusu ujiue we kama unataka kujiua jiue tu usiope kazi serikali ya mama kizimkazi ina mambo mengi sn mnaleta upuuzi wenu nyie jiueni na wala hatustuki siku izi tushazoea
 
Kwa sababu zifuatazo kumekuwa na wimbi la watu kujiua kikatili vifo vya kutisha, vifo vinavyozua taharuki, vifo vyenye maumivu makali kupitiliza, Kuna vifo watu wanajichinja, Watu wanajiwasha moto, Watu wanajinyonga, Watu wanakunywa sumu ambazo huwauwa kwa kukatakata utumbo na kupelekea vifo vya mateso na maumivu makali mno kwa hiari hao,
Hawawezi kukubali kwakuwa walishatunga sheria inayozuia kujiua ila wao wana haki ya kukuua
Hawataruhusu hilo kwakuwa bado wanataka tabaka la kuendelea kulitawala na kuwaneemesha wao
 
Taja sababu ambazo zinaeleweka mpk serikali ikuruhusu ujiue we kama unataka kujiua jiue tu usiope kazi serikali ya mama kizimkazi ina mambo mengi sn mnaleta upuuzi wenu nyie jiueni na wala hatustuki siku izi tushazoea
Sababu ni kuwa nina uhuru wa maamzi kuhusu maisha yangu binafsi niishi au nisiishi
 
Back
Top Bottom