1.Mshahara kwa mwezi tshs 2,300,000/=
2.Mafuta ya gari kwa mwezi 2,000,000/=i.e ltr 1000 kwa mwezi
3.Posho ya ubunge kwa mwezi 1,000,000/=
4.Posho ya kukaa bungeni kwa siku 80,000/=
5.Posho ya kuendesha ofisi kwa mwezi 700,000/=
6.Simu ya mkononi kwa mwezi 500,000/=
Jumla ya mapato hayo ni7,200,000/=ukiachilia mbali posho za vikao vya kamati mbali mbali na safari za nje. bado wameona pato hilo kwa mwezi halitoshi wamejiongezea posho ya vikao mpaka 200,000/= kwa kisingizio kuwa maisha ni magumu. madaktari walipogoma posho imeongezwa kufikia 25,000/=. waalimu wanalalamika hakuna anayejali. Hii imekaaje? na nini kifanyike?. Tafadhali changieni bila ghadhabu. Nawasilisha.
source: gazeti la mwananchi jumatano 29/02/2012 page 3
huyo mama anamuwakilisha nani walokole au? mbona sioni shehe au padri....unanikumbusha kale kabibi eti pesa wanayopata wabunge ni ndogo au kwa vile katoa lile wigi kichwa kimekuwa chepesi ndio maana kaongea pesa kigogo?nIMECHOKA!
KAMA hata wabunge wa viti maalum kama Mama Lwakatare wanalipwa hela kama hizo basi inatakiwa walipwe nusu ya hiyo hela!
Hata mama yetu makinda hajajenga sijui miaka yote 17 alikjuwa anakula gudtym tu au?
1.Mshahara kwa mwezi tshs 2,300,000/=
2.Mafuta ya gari kwa mwezi 2,000,000/=i.e ltr 1000 kwa mwezi
3.Posho ya ubunge kwa mwezi 1,000,000/=
4.Posho ya kukaa bungeni kwa siku 80,000/=
5.Posho ya kuendesha ofisi kwa mwezi 700,000/=
6.Simu ya mkononi kwa mwezi 500,000/=
Jumla ya mapato hayo ni7,200,000/