Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Jamani kuna kesi hapa nyumbani, dada wa kazi kajazwa mimba na mapacha wa hapa jirani. Tatizo ni kuwa haieleweki ni ya nani maana wote wamekiri wanahusika. Wametuacha na mshangao maana inaonekana walikuwa wanamega kila mtu na muda wake bila binti kujua.. Kesi imeahirishwa hadi wazazi wa binti watakapofika!