Nilitaka kumuoa akakataa kisa dini

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Niliwahi pata binti wa kiislam kutoka urangini huko nikampenda sana, nikawa namhudumia zaidi ya mke wa ndoa maana bajeti yake kwa mwezi nilikuwa natumia zaidi ya laki 5 hadi 6.

Ila ilipofika wakati wa ndoa akawa anapiga chenga hataki kubadili dini anataka niwe muislam alafu nikaowe, nikamwambia mwanaume kamili hawezi badili dini kisa mwanamke ni ujinga.

Nikampa options kuwa tukafunge ndoa ya mahakama ili kila mtu abaki na Dini yake akakataa akasema hawezi kama vipi tuendelee hivi hivi.

Kuna kipindi wazee wakaniita wakanipa ushauri kuwa kuishi na binti Dini tofauti kwa kipindi kirefu bila ndoa ipo siku atampata wa imani yake atapewa mimba au kuolewa kabisa atachukuliwa namuoba na sitofanya chochote zaidi ya kuumia.

Baada ya kubembeleza sana alipokataa machale yakanicheza ikabidi nimpige chini mazima,nikaachana nae nikatafuta mwanamke wa imani yangu nikaowa now maisha yanaendelea fresh.

Juzi kati kivukoni hapa nikakutana nae baada ya mda mrefu kachoka vibaya ana watoto mapacha na kazalishwa akiwa kwao na aliyemzalisha ni waupande wake na kamkimbia now anatamani hata kuskia ndoa baada ya kuchakaa vibaya.
 
Hata wewe una udhaifu mwingi,hususani katika kujifanya shirika la msaada,wa watu wa marekani,
 
Juzi kati kivukoni hapa nikakutana nae baada ya mda mrefu kachoka vibaya ana watoto mapacha na kazalishwa akiwa kwao
Vipi umefurahi kumuona kachakaa Mkuu?

MUACHE BINTI WA WATU UAMUZI WAKE SIO SABABU YA YEYE KUCHAKAA, KUNA MAMBO MENGI YANAPELEKEA MTU KUMPATA MWENZA ASIE SAHIHI (DON'T JUDGE).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mkuu nilipewa vitu na mzenji mmoja hivi mpk nikasema inabidi serikali iweke sheria kali kwa wanaotaka kuvunja muungano.

Usisahau me ni mlutheri mzuri tu.
Mapenzi hayana udini.
Mpaka ukavuka ulutheri kutafuta muislamu hayo soliyo ma.penzi una pepo la uzinzi hakuna Cha mapenzi hayana macho Wala Nini
 
Niliwahi pata binti wa kiislam kutoka urangini huko nikampenda sana, nikawa namhudumia zaidi ya mke wa ndoa maana bajeti yake kwa mwezi nilikuwa natumia zaidi ya laki 5 hadi 6.

Ila ilipofika wakati wa ndoa akawa anapiga chenga hataki kubadili dini anataka niwe muislam alafu nikaowe, nikamwambia mwanaume kamili hawezi badili dini kisa mwanamke ni ujinga.

Nikampa options kuwa tukafunge ndoa ya mahakama ili kila mtu abaki na Dini yake akakataa akasema hawezi kama vipi tuendelee hivi hivi.

Kuna kipindi wazee wakaniita wakanipa ushauri kuwa kuishi na binti Dini tofauti kwa kipindi kirefu bila ndoa ipo siku atampata wa imani yake atapewa mimba au kuolewa kabisa atachukuliwa namuoba na sitofanya chochote zaidi ya kuumia.

Baada ya kubembeleza sana alipokataa machale yakanicheza ikabidi nimpige chini mazima,nikaachana nae nikatafuta mwanamke wa imani yangu nikaowa now maisha yanaendelea fresh.

Juzi kati kivukoni hapa nikakutana nae baada ya mda mrefu kachoka vibaya ana watoto mapacha na kazalishwa akiwa kwao na aliyemzalisha ni waupande wake na kamkimbia now anatamani hata kuskia ndoa baada ya kuchakaa vibaya.
Huyo alikuwa Muislam jina siyo Muislam imani.
 
Back
Top Bottom