Mapacha hawa balaa!!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,700
Jamani kuna kesi hapa nyumbani, dada wa kazi kajazwa mimba na mapacha wa hapa jirani. Tatizo ni kuwa haieleweki ni ya nani maana wote wamekiri wanahusika. Wametuacha na mshangao maana inaonekana walikuwa wanamega kila mtu na muda wake bila binti kujua.. Kesi imeahirishwa hadi wazazi wa binti watakapofika!
 
Ha hahaaa

ukisikia identical twins ndivyo walivyo......
Wanapenda ku share.....

Wanaweza ku share mwanamke bila mwanamke kujua...

Na hata wa kike wapo hivyo....

Mimi niliwahi kuchangiwa na warembo wawili mapacha bila kujua kwa mda fulani hivi...

Its funny,yaani hawana wivu kabisa.......
 
Dah aisee hawa jamaa ni hatari na wote wakadai wako responsible, hadi binti alipigwa na mshangao kuliko sisi wasikilizaji.
 
Hivi mapacha wakifanya dna itakuwa tofauti au itaonyesha wote ni wahusika?
 
Jamani kuna kesi hapa nyumbani, dada wa kazi kajazwa mimba na mapacha wa hapa jirani. Tatizo ni kuwa haieleweki ni ya nani maana wote wamekiri wanahusika. Wametuacha na mshangao maana inaonekana walikuwa wanamega kila mtu na muda wake bila binti kujua.. Kesi imeahirishwa hadi wazazi wa bint4 watakapofika!

job true true..usikute huyo mdada alikuwa anajua anakutana na kurwa kila mara kumbe doto nae alikuwepo. mapacha wanaofanana ni hatari na kuwatambua ni kazi.
 
Huyo dada nae atajifungua mapacha kila mmoja mtoto wake....
 
job true true..usikute huyo mdada alikuwa anajua anakutana na kurwa kila mara kumbe doto nae alikuwepo. mapacha wanaofanana ni hatari na kuwatambua ni kazi.
Ni kweli maana alipoulizwa muhusika alimtaja Doto, lakini Kulwa nae alidai alikuwa anamega hivyo nae pia ni muhusika. Hii ilitushangaza sana kwani binti na doto walikuwa hawajui kuwa kulwa nae alikuwa anahusika. Hii ilisababisha ugomvi kati ya hao mapacha, doto kumlaumu kulwa kwa kumzunguka!
 
Huwa ni balaa ukikuta wanafanana hawa watu wanakuwa hivyo na hawana wivu hata kidogo.

Hapo kazi ipo
 
Jamani kuna kesi hapa nyumbani, dada wa kazi kajazwa mimba na mapacha wa hapa jirani. Tatizo ni kuwa haieleweki ni ya nani maana wote wamekiri wanahusika. Wametuacha na mshangao maana inaonekana walikuwa wanamega kila mtu na muda wake bila binti kujua.. Kesi imeahirishwa hadi wazazi wa binti watakapofika!
Hapo kweli kuna mzozo maana kama ni identical twins hata ukicheki DNA zao zitafanana kwa sababu wanatokana na yai moja. Solution kama wote wamekubali mimba ni yao wote wamlee mtoto atakaezaliwa kwa pamoja na kama hiyo mimba watazaliwa mapacha wagawane watoto.
 
Dah huwa wanachanganya sana, mie nilishuhudia harusi iliyofungwa siku mmoja ya mapacha ilikuwa shughuli pevu.
 
Ha hahaaa

ukisikia identical twins ndivyo walivyo......
Wanapenda ku share.....

Wanaweza ku share mwanamke bila mwanamke kujua...

Na hata wa kike wapo hivyo....

Mimi niliwahi kuchangiwa na warembo wawili mapacha bila kujua kwa mda fulani hivi...

Its funny,yaani hawana wivu kabisa.......

Habari ya siku nyingi?

Mzima? kwanini unapotea hivo sio vizuri.

Sore ofu topiki.
 
Hapo kweli kuna mzozo maana kama ni identical twins hata ukicheki DNA zao zitafanana kwa sababu wanatokana na yai moja. Solution kama wote wamekubali mimba ni yao wote wamlee mtoto atakaezaliwa kwa pamoja na kama hiyo mimba watazaliwa mapacha wagawane watoto.

Hapana mkuu, hii sio kweli, DNA ni unique hata kwa mapacha. Waende tu wakapime ukweli utajulikana. Ukitaka kuhakikisha angalia kesi za CSI (NY, MM, LV)
 
Ni ajabu kwamba hata mapacha huwa wana wivu.
Ushuhuda niliupata kupitia kwa bwana mmoja wa kijaluo, yeye alioa kulwa na Dotto akidhani hawatogombania penzi. Story iligeuka pale alipata mimba kulwa hali Dotto hana. Mapenzi yaliamia kwa Kulwa hali Dotto kutengwa. Hali hii ilimshinda Dotto akawa atulii kulalamika hatimaye walizipiga na kulwa akidai aachie pia afaidi.:msela:
 
mimi ndo doto na ndio mwenye ilo zigo,kushare kuna raha yake hasikwambie mtu ila ni kwa twins tu nyie ambao hamjabahatika msijaribu,it doesnt apply kwenu:roll:
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom